Zanzibar 2020 Bi Zahla Ali Hamad: Sababu ya kutoendelea Zanzibar ni udhalimu

Zanzibar 2020 Bi Zahla Ali Hamad: Sababu ya kutoendelea Zanzibar ni udhalimu

Makala josee

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
511
Reaction score
447
Aliyekuwa Naibu Waziri kwenye serikali ya Dk Ali Mohamed Shein, Bi Zahra Ali Hamad, amesema kushindwa kuendelea kwa Zanzibar kunatokana na dhulma ambazo zimetendwa na rais anayemaliza muda wake, Dk Shein. Hayo ameyasema katika mkutano wa hadhara jimbo la Amani leo.

========

Kwakweli nimependa namna ya uwasilishaji wake na Kwa hakika huyu ni mama
 
Natamani sana Zbar iwe sehemu rasmi ya Tanzania.Tuache unafiki sisi ni ndugu, tuachane na mipaka wakoloni.
 
Ila kwasasa kwa Zanzibar tunakoelekea ni vyema tuwe nchi moja.
 
Hata sisi na Sudani Kusini ndugu pia. Kitu gani kinachokufanya usitamani na wao kuwa sehemu yetu pia. Wazanzibari ni Waislamu na sisi ni Makafiri. Udugu huo umetokea wapi?
Tukiwa nchi moja tutapata suluhu ya madhila wakoloni moja wapo hilo dhana potofu makafiri na wengine...
 
Aliyekuwa Naibu Waziri kwenye serikali ya Dk Ali Mohamed Shein, Bi Zahra Ali Hamad, amesema kushindwa kuendelea kwa Zanzibar kunatokana na dhulma ambazo zimetendwa na rais anayemaliza muda wake, Dk Shein. Hayo ameyasema katika mkutano wa hadhara jimbo la Amani leo.

========

Kwakweli nimependa namna ya uwasilishaji wake na Kwa hakika huyu ni mama

Kumekuchaaa.. Sasa mpaka manaibu waziri wapiga spana!
 
Sema tuache masikhara, Babuali alivosema hajui kwanini Zanzibar haiendelei ameonekana mjinga sana. Yaani rais wa nchi anasema hajui kwanini hakuna maendeleo kwenye nchi yake? CCM inavichwa michungwa kweli kweli
 
😁😁
 
Ingependeza angeachia ngazi miaka miwili au mitatu iliyopita, angeekeweka. Hii kujiuzulu sasa, ni kutafuta huruma ya wananchi, achaguliwe ubunge, na anajikomba na Maalim seif, aliki hatafanikiwa, labda kuwe na lingine
 
Nukta muhimu Kwa Dr stein; waachilie masheykh hawajaua wala kushirikisha kama ambavyo mmeusiwa waislam
Amebakiwa na siku chache tu kujivua na lawama.Mwenzake Kikwete siku moja tu aliyotoka uraisi alifanyiwa kejeli pale pale uwanjani wakati wa kupokezana uraisi na hakuwa na nguvu tena kujitetea. Mbona wenzao wanaheshimu viongozi wao wa dini na siku zote wanawakingia kifua hawa akina sisi siku zote ni kuwakandamiza tu eti wanalinda utawala bora.Hakuna utawala bora katika kudhulumu watu wasio na hatia.
 
Back
Top Bottom