Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Lakini mbona dalili zimekuwa mbaya mapema kuliko hata uchaguzi uliopita.Safari inaonekana ni uhuni uliopitiliza. Maalim asikaate tamaa lakini iliyobaki ni rehma ya Mungu na kwake hakuna kubwa wala lisilowezekan.Hawa wenye nia mbaya wanaweza kutiwa msukomsuko ambao hawakuwahi kuufikiria.Huyu Shein hakushinda Uchaguzi ule.
Ni Dhulma zilifanyika dhidi ya Maalim Seif na chama chake.
Safari hii ushenzi ule usijirudie tena .
Sanduku la Kura ni vizuri kuheshimiwa.