Makala josee
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 511
- 447
Kitu gani chawatishaHili la Masheikh nawaasa viongozi wa CCM wakawachia, dhulma za 64 bado zinahuant ifike mahali iwe basi tena jamani.
Hata sisi na Sudani Kusini ndugu pia. Kitu gani kinachokufanya usitamani na wao kuwa sehemu yetu pia. Wazanzibari ni Waislamu na sisi ni Makafiri. Udugu huo umetokea wapi?Natamani sana Zbar iwe sehemu rasmi ya Tanzania.Tuache unafiki sisi ni ndugu, tuachane na mipaka wakoloni.
Unaijua zanzibara unaisikia?Natamani sana Zbar iwe sehemu rasmi ya Tanzania.Tuache unafiki sisi ni ndugu, tuachane na mipaka wakoloni.
Tukiwa nchi moja tutapata suluhu ya madhila wakoloni moja wapo hilo dhana potofu makafiri na wengine...Hata sisi na Sudani Kusini ndugu pia. Kitu gani kinachokufanya usitamani na wao kuwa sehemu yetu pia. Wazanzibari ni Waislamu na sisi ni Makafiri. Udugu huo umetokea wapi?
Kumekuchaaa.. Sasa mpaka manaibu waziri wapiga spana!Aliyekuwa Naibu Waziri kwenye serikali ya Dk Ali Mohamed Shein, Bi Zahra Ali Hamad, amesema kushindwa kuendelea kwa Zanzibar kunatokana na dhulma ambazo zimetendwa na rais anayemaliza muda wake, Dk Shein. Hayo ameyasema katika mkutano wa hadhara jimbo la Amani leo.
========
Kwakweli nimependa namna ya uwasilishaji wake na Kwa hakika huyu ni mama
😁😁Sema tuache masikhara, Babuali alivosema hajui kwanini Zanzibar haiendelei ameonekana mjinga sana. Yaani rais wa nchi anasema hajui kwanini hakuna maendeleo kwenye nchi yake? CCM inavichwa michungwa kweli kweli
Acheni sheria uchukue mkondo wakeNukta muhimu Kwa Dr stein; waachilie masheykh hawajaua wala kushirikisha kama ambavyo mmeusiwa waislam
Sheria gani hiyo watu hawashtakiwi tu? Nipe sheria iliyotumika kuwaleta huku bara na si kushtakiwa kulekule kwao?Acheni sheria uchukue mkondo wake
Amebakiwa na siku chache tu kujivua na lawama.Mwenzake Kikwete siku moja tu aliyotoka uraisi alifanyiwa kejeli pale pale uwanjani wakati wa kupokezana uraisi na hakuwa na nguvu tena kujitetea. Mbona wenzao wanaheshimu viongozi wao wa dini na siku zote wanawakingia kifua hawa akina sisi siku zote ni kuwakandamiza tu eti wanalinda utawala bora.Hakuna utawala bora katika kudhulumu watu wasio na hatia.Nukta muhimu Kwa Dr stein; waachilie masheykh hawajaua wala kushirikisha kama ambavyo mmeusiwa waislam