Lakini mbona dalili zimekuwa mbaya mapema kuliko hata uchaguzi uliopita.Safari inaonekana ni uhuni uliopitiliza. Maalim asikaate tamaa lakini iliyobaki ni rehma ya Mungu na kwake hakuna kubwa wala lisilowezekan.Hawa wenye nia mbaya wanaweza kutiwa msukomsuko ambao hawakuwahi kuufikiria.Huyu Shein hakushinda Uchaguzi ule.
Ni Dhulma zilifanyika dhidi ya Maalim Seif na chama chake.
Safari hii ushenzi ule usijirudie tena .
Sanduku la Kura ni vizuri kuheshimiwa.
Aliyekuwa Naibu Waziri kwenye serikali ya Dk Ali Mohamed Shein, Bi Zahra Ali Hamad, amesema kushindwa kuendelea kwa Zanzibar kunatokana na dhulma ambazo zimetendwa na rais anayemaliza muda wake, Dk Shein. Hayo ameyasema katika mkutano wa hadhara jimbo la Amani leo.
========
Kwakweli nimependa namna ya uwasilishaji wake na Kwa hakika huyu ni mama
Wewe mbona uko huku bara na si kwenu zanzibar!? Kwa sheria ipiSheria gani hiyo watu hawashtakiwi tu? Nipe sheria iliyotumika kuwaleta huku bara na si kushtakiwa kulekule kwao?
Yaaaaaaani hawa wazanzibar wawe sehemu ya!?, Wao wapenda chetu kiwe chao lakini chao kiwe chaoNatamani sana Zbar iwe sehemu rasmi ya Tanzania.Tuache unafiki sisi ni ndugu, tuachane na mipaka wakoloni.
Dharau hizi+ makengeza+ ubaguzi: yaani aliyepo madarakani hawezi kuleta maendeleo bali ndugu yako ndo anaweza!?. Maendeleo yepi hayo!?Aliyekuwa Naibu Waziri kwenye serikali ya Dk Ali Mohamed Shein, Bi Zahra Ali Hamad, amesema kushindwa kuendelea kwa Zanzibar kunatokana na dhulma ambazo zimetendwa na rais anayemaliza muda wake, Dk Shein. Hayo ameyasema katika mkutano wa hadhara jimbo la Amani leo.
========
Kwakweli nimependa namna ya uwasilishaji wake na Kwa hakika huyu ni mama
Toka kwenye nyumba ya kupanga Kwanza ndio uwe na jeuriDharau hizi+ makengeza+ ubaguzi: yaani aliyepo madarakani hawezi kuleta maendeleo bali ndugu yako ndo anaweza!?. Maendeleo yepi hayo!?
Sijawahi kuishi maisha hayoToka kwenye nyumba ya kupanga Kwanza ndio uwe na jeuri
Kumbe ni mtoto haya nenda kanisani ukirudi umuombe Baba zawadiSijawahi kuishi maisha hayo
Labda unamzungumzia mjukuu wangu japo anakuzidi uelewa. Ukitoka madrasa kaa chini utafakari mahitaji yako ni yepiKumbe ni mtoto haya nenda kanisani ukirudi umuombe Baba zawadi
Too childishLabda unamzungumzia mjukuu wangu japo anakuzidi uelewa. Ukitoka madrasa kaa chini utafakari mahitaji yako ni yepi