Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Bei ya Bia cku zote haitofautiana saaana na Bei ya Mafuta lkn kwa sasa imeipiku, Wadau nashauri tuwe na Ewura yetu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni maji ya kunywa ya chupa! Najaribu kulinganisha bei ya maji na maziwa! Kipi kilitakiwa kuwa na bei kubwa?? Au kwa sababu maji yanatoka kiwandani?😕
Bei ya Bia cku zote haitofautiana saaana na Bei ya Mafuta lkn kwa sasa imeipiku, Wadau nashauri tuwe na Ewura yetu...
Au tuachane na bia????!!!!🙄
Maswali mengine ni uchokozi tu...!Kwani ni lazima na muhimu sana kunywa bia?
Du Kinibu- yakhe- sijui? -pengine muwafaka.Ninachokiona ni watu kuhama kutoka kwenye beer na kukimbilia kwenye pombe haramu (gongo). Assume mtu ana-maintain the same level ya beer consumption, maana yake ata-spend more matokeo yake kulaza watoto njaa. Naomba kuwakilisha.
Katika hali isiyo ya kawaida makampuni ya bia nchini yamejipandishia bei za bia kienyeji bila kuwataarifu wateja wao.Hali hii imetokea kuanzia jumapili tr 08 feb 2009.
Tumezoea kunywa kwa mfano Kilimanjaro na Safari kwa sh.1200/= zimepanda mpaka 1300 na 1400 huku Castle na Serengeti tulikuwa tunakunywa kwa sh.1300/= kwa sasa imepanda mpaka 1400 na 1500.
Napenda kulalamika kwa makampuni husika kwa kupandisha bei gafla bila kuwataarifu wateja wao husika na hii imeleta kero sana kwa sisi wanywaji mpaka tukajua tunaibiwa.
Kama inawezekana tunaomba serikali iunde chombo cha kusimamia bei za bidhaa kama ilivyo kwa nyanja zingine kama kwenye mafuta na usafiri kuna EWURA.
Ukiangalia kwa undani zaidi makampuni ya pombe ndo walipaji wazuri wa kodi nchini ukilinganisha na nyanja zingine kama madini,kilimo n.k
Hapa naona sasa Gongo itapata wateja sana.
Hata ile pombe inayotoka Kilimanjaro inaitwa Banana sasa ndo wakati wa kukimbilia huko.