Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

anti-Glazer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2023
Posts
291
Reaction score
482
images - 2023-06-03T105127.854.jpeg


Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam.

Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako.

Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
 
Yaani toka aingie dasalama huyu jmaa ni kwenda na flow,kuchamba mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom