Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Bora hata hapa nimekuta story ya bia maana kila dakika makolo wanaanzisha thread kuwasema wananchi kama single maza alioachwa.
Eeh mkuu bia tamu, muhimu usiwe u18
Bei chee hizo bia lazima ziwe na shida, bure aghaliBeer Bingwa, Balimi au Eagle
Duh anyways mengi sana na wasio wanywaji.. Anyway kama unakula vizuri Konyagi ndogo na bitter lemon ya baridi sana is the best combination kea after njemaHebu tupeane uzoefu hapa kwenye hizi beer,
Maana lugha zimekuwa nyingi sana kitaa,
Mara hizi hazina wanga sana, zile hupati kisukar mara hata ukiwa na kisukari unakunywa, nyingine sinaleta kitambi, mara sijui nguvu za kiume zinapungua mara ohhh ndo unapiga show.
Tupeane ushauri hapa ni beer gani zinafaa,
Unaweza ongezea kinywaji chochote kingine, ila sio Maji ama soda[emoji2957].
Nyagi inauwa macho brooDuh anyways mengi sana na wasio wanywaji.. Anyway kama unakula vizuri Konyagi ndogo na bitter lemon ya baridi sana is the best combination kea after njema
Usinywe nyingi usinywe kavu hutaua macho tuu utaua vingiNyagi inauwa macho broo
Unatupiaki limao au barafu usiuma machoNyagi inauwa macho broo
Bia nzuri kwa afya ni pesaHebu tupeane uzoefu hapa kwenye hizi beer,