Bia gan nzuri kwa afya?

Bia gan nzuri kwa afya?

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,611
Reaction score
5,009
Hebu tupeane uzoefu hapa kwenye hizi beer,

Maana lugha zimekuwa nyingi sana kitaa,

Mara hizi hazina wanga sana, zile hupati kisukar mara hata ukiwa na kisukari unakunywa, nyingine sinaleta kitambi, mara sijui nguvu za kiume zinapungua mara ohhh ndo unapiga show.

Tupeane ushauri hapa ni beer gani zinafaa,

Unaweza ongezea kinywaji chochote kingine, ila sio Maji ama soda[emoji2957].
 
Duh anyways mengi sana na wasio wanywaji.. Anyway kama unakula vizuri Konyagi ndogo na bitter lemon ya baridi sana is the best combination kea after njema
 
Nyagi inauwa macho broo
 
Bia ingekuwa inafaa kwa afya isingezuiliwa kwa walio chini ya miaka 18.
 
Castle lite, kilimanjaro, Serengeti na Serengeti lager
 
Hebu tupeane uzoefu hapa kwenye hizi beer,

Maana lugha zimekuwa nyingi sana kitaa,

Mara hizi hazina wanga sana, zile hupati kisukar mara hata ukiwa na kisukari unakunywa, nyingine sinaleta kitambi, mara sijui nguvu za kiume zinapungua mara ohhh ndo unapiga show.

Tupeane ushauri hapa ni beer gani zinafaa,

Unaweza ongezea kinywaji chochote kingine, ila sio Maji ama soda[emoji2957].
Bia nzuri kwa afya ni pesa
 
Back
Top Bottom