Bia gani ina calories kidogo?

Bia gani ina calories kidogo?

pisces

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
240
Reaction score
61
of kozz bia inasemekana zina kiasi kikubwa cha cabohydrate ambayo kimsingi si nzuri kiafya.... je wadau.... ni bia ipi hapa tz ina calories kidogo...???? Nawasilisha.
 
Unauliza ili iweje!!
Kunywa gongo, ina the lowest calorie value.
 
of kozz bia inasemekana zina kiasi kikubwa cha cabohydrate ambayo kimsingi si nzuri kiafya.... je wadau.... ni bia ipi hapa tz ina calories kidogo...???? Nawasilisha.

Unahangaika bure, kwani lazima unywe bia? KUNYWA MAJI.
 
Njoo kiwandani nikupeleke kwa brew master wetu akuelimishe.
 
of kozz bia inasemekana zina kiasi kikubwa cha cabohydrate ambayo kimsingi si nzuri kiafya.... je wadau.... ni bia ipi hapa tz ina calories kidogo...???? Nawasilisha.
Umeshaona kwenye pombe kuna madhara, tena zaidi ya ulivyoeleza, sasa unatafuta pombe mbadala kwanini? Hizo pesa nunua matunda ule na familia mpate faida wote. ULEVI NOMAAA.
 
Kunywa Rubisi pls na gongo ya ndizi.Mambo safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Unahangaika bure, kwani lazima unywe bia? KUNYWA MAJI.
Acha ujinga ndugu, jamaa ameuliza bia gani ina calories Kidogo hajauliza anywe kinywaji gani, kutokana na huu ushauri potofu ndiyo maana mimi najinywea Serengeti zangu na sitaki ushauri wowote kuhusiana na madhara wala faida ya kuinywa mimi ndiyo ninaye fahamu, na imekuwa moja ya sababu za hata mimi kujituma katika kutafuta pesa
 
na mimi huwa nakunywa Serengeti inasemekana hii ni nzuri sana, na nimeshafanya utafiti wazee wengi huwa wanatumia Serengeti Bia.
 
o o o......hata mimi nilikuwa nataka kujua....coz bia siwezi acha na kitambi ndio kama hivi tena.....piwa siwezi kunywa....puliizi......
thethethet! Mamitooo! Msema ukweli ni mpenzi wa mungu!
 
o o o......hata mimi nilikuwa nataka kujua....coz bia siwezi acha na kitambi ndio kama hivi tena.....piwa siwezi kunywa....puliizi......

hahahaha umeona eeehh
itabidi w/end nikupeleke matejo uanze kidogo kidogo
 
tatizo mnaleta siasa wakati hili ni swali kama mengine... Acheni kejeli wana jf. Kama hujui kaa kimya.
 
Back
Top Bottom