mlevi sugu
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,981
- 3,875
Chukua hiiWatu tunakunywa bia zetu kwa adabu. Alafu mnazikemea kwani bia zina mapepo.Eti pepo yakunywa bia ishindwe. Kwan jini anaishi kwenye chupa ya bia. Nyie wachungaj wakilokole ipeni kinywaji chetu heshima. Bia sio dhambi hata Yesu alifanya mijiuza ya pombe sawasawa na bia tunayoinywa leo.
Samahani, sira ni nini?Chukua hii
SijakuelewaSamahani, sira ni nini?
Tena iheshimiwe sanaWatu tunakunywa bia zetu kwa adabu. Alafu mnazikemea kwani bia zina mapepo.Eti pepo yakunywa bia ishindwe. Kwan jini anaishi kwenye chupa ya bia. Nyie wachungaj wakilokole ipeni kinywaji chetu heshima. Bia sio dhambi hata Yesu alifanya mijiuza ya pombe sawasawa na bia tunayoinywa leo.