Bia kwa Dar es Salaam inauzwa bei gani?

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
wadau niko pemba,huku bia imefika sh 3500 kwa local bar tangu juzi, najiuliza je ni kwa pemba pekee au hata dar bei imepanda?
 
wazanzibari kwa unafiki tu hamjambo.

Mnachoma makanisa, mnaua mapadri, mnakataa kitimoto,

lakini mwisho wa siku mnakunywa castle bariiiiidi kwa shs 3500!

lol.. i'm joking ppo!

kwa dar bar za kawaida(local bar) bia bei gani mkuu?
 
wadau niko pemba,huku bia imefika sh 3500 kwa local bar tangu juzi, najiuliza je ni kwa pemba pekee au hata dar bei imepanda?

Inategemea local bars 2300-2500
Club na hotel za kisasa 3000-3500
 
mtoa mada kauliza bei ya bia mjibuni syo mnaingiza dini hapa.....
 
Usishangae, ndio bei ya hoteli za kitalii. Nenda Serena ukajaribu uone. Msiishie mtaani kwenye bei za 2,300/-.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…