Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazanzibari kwa unafiki tu hamjambo.
Mnachoma makanisa, mnaua mapadri, mnakataa kitimoto,
lakini mwisho wa siku mnakunywa castle bariiiiidi kwa shs 3500!
lol.. i'm joking ppo!
wadau niko pemba,huku bia imefika sh 3500 kwa local bar tangu juzi, najiuliza je ni kwa pemba pekee au hata dar bei imepanda?
Inategemea local bars 2300-2500
Club na hotel za kisasa 3000-3500
4000 - 6000 hoteli za kisasa
4000 - 6000 hoteli za kisasa
Mmefunga au mmebadili mchana kuwa usiku?
6000 local bia.?
Mie nilizizozitaja ni zile za nusu nyota
Labda ww unazungumzia za nyota 5
kwangu nauza 2,300