Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
Bashite lager?bashite
Basi mororo.Dah...kama ukinywa inakuchanganya unakuwa hujielewi basi Itakuwa mororo ikiitwa Guhaj imer......Maana yake kuchanganyachanganya mambo kwa lugha ya kieskimo[emoji12] [emoji12]
bashite
kolomije
Mbege ni jina la pombe na sisi tunataka jina jipyambege
miss gembeMbege ni jina la pombe na sisi tunataka jina jipya
Hii ishu ipo serious kwahiyo tunahitaji jina lenye kuvutia kibiashara.miss gembe