Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,727
Bia na myama
Hivi vingine vyote ni danganya toto tu
Bisi inakata pombe so wanataka uache pesa mingi hapo.
Huwa kuna ka flavour flani inaleta. Sehem nyingi saivi kwenye bar wanauza bisi.
hakika..kuna siku tulipiga plate kama nne hivi na jamaangu mmoja 😬..shida zinang'ang'ania kwenye meno kama kisamvuCha ajabu, unazila sanaaa, hazikifu.
hakika..kuna siku tulipiga plate kama nne hivi na jamaangu mmoja [emoji51]..shida zinang'ang'ania kwenye meno kama kisamvu