Bia na bisi

Bia na bisi

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,727
Wakulungwa!

Hii huwa sielewi, kuna chemistry gani kati ya bia na bisi, ?

Maana huwa nikifika tu bar, utakuta mdada mrembo,ananiletea bisi, baada ya kuagiza vyombo.

Au ndio yale yale, siku hiz watu huwa nawaona wanakula mihogo na dagaa..

Huyu Chief cooker, anaye design hivi chakula , itabid tumjue.

IMG_3156.jpg
 
Bisi inakata pombe so wanataka uache pesa mingi hapo.
 
Huwa kuna ka flavour flani inaleta. Sehem nyingi saivi kwenye bar wanauza bisi.
 
hakika..kuna siku tulipiga plate kama nne hivi na jamaangu mmoja [emoji51]..shida zinang'ang'ania kwenye meno kama kisamvu

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kweli kabisa
 
Mimi nagonga bia na uji fresh tu.... ukiwa mnywaji hakuna fomula wee piga bia ukija uji gonga kama kawaa
 
Back
Top Bottom