[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora uniue lakini siwezi chagua kimoja hapo... kama nikuniua we niue tu
Sasa Kuruthumu na Kitimoto wapi na wapi?Sijawah onja kitimoto
Ni kubaya..bora mninyonge..[emoji23][emoji23][emoji23]umeua sanaBora uniue lakini siwezi chagua kimoja hapo... kama nikuniua we niue tu
Naunga mkono mkuu, na wakituua watuzike navyo kabisa.Bora uniue lakini siwezi chagua kimoja hapo... kama nikuniua we niue tu
Wala usijaribu mama, utajikuta unaanza kufuta kioo cha simu kwa kutumia tumbo badala ya hips.Sijawah onja kitimoto
Hivi ukiambiwa uchague bia na kitimoto utachagua kipi ?
Usije kusema vinaendana pamoja π€π€akili za Naantombe Mushi π€π€π€
Wala usijaribu mama, utajikuta unaanza kufuta kioo cha simu kwa kutumia tumbo badala ya hips.
Kuna vitu vingine maishani havina machaguo kabisaaNi kubaya..bora mninyonge..[emoji23][emoji23][emoji23]umeua sana
Kabisaaa....bora uninyime vyote kuliko unipe adhabu ya kuchagua kimojaNaunga mkono mkuu, na wakituua watuzike navyo kabisa.
Hivi vitu ni sawa na mapacha walioungana alafu wanatumia moyo na ubongo mmoja.
Ahha na sitegemei kuonja kabisaSasa Kuruthumu na Kitimoto wapi na wapi?
πππ Kwa dewisKuna jamaa pale mbagala sabasaba anaitwa Dewis yule fundi balaa! anakutengenezea kitimoto na kachumbali na pili vyote vimekatwa kiustadi kama vimekatwa na mashine. Kisha mhudumu anakuletea bia baridi inatoa machozi na jasho, acha kabisa!