Bia na kitimoto ipi tamu?

Bia na kitimoto ipi tamu?

Nimejaribu kuchagua hata kwa tofauti ya asilimia moja nimeshindwa...swali ngumu sana kwa mwaka huu
IMG-20201127-WA0067.jpg
20200609_182024.jpg
 
Kuna jamaa pale mbagala sabasaba anaitwa Dewis yule fundi balaa! anakutengenezea kitimoto na kachumbali na pili vyote vimekatwa kiustadi kama vimekatwa na mashine. Kisha mhudumu anakuletea bia baridi inatoa machozi na jasho, acha kabisa!
 
Back
Top Bottom