Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Hiyo ya nyama ya nguruwe kusababisha hisia za ushoga ni ya kweli???
Nyama ya nguruwe ni Sumu inayosababisha epigenetic inapoingia katika mwili wa mtu, kwa lugha nyingine ugonjwa huo unaitwa food epigenetic kwani kuna epigenetics za aina mbalimbali.
Katika wanyama ni Nguruwe na Jamii ya nyani ndio naturally hufanya Homosexuality, ukiweka panoja madume mawili ya nguruwe licha ya kuwepo majike ni aghalabu kuyaona yakipigana "miti" , watu wanaokula sana nyama ya nguruwe aghalabu huambukizwa tabia hiyo.
Wapo Simba dume nao hupigana miti, ukichunguza mazingira yao (territory) utakuta kwamba katika eneo hilo kuna nguruwe mwitu wengi sana ambao ndio chakula kikuu cha hao simba, kimsingi ni kwamba hao simba wameambukizwa tabia ya Ushoga na hao nguruwe wanaowala, hiyo ndiyo food epigenetics.