Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,603
- 4,082
[emoji2][emoji2]Kuna jamaa pale mbagala sabasaba anaitwa Dewis yule fundi balaa! anakutengenezea kitimoto na kachumbali na pili vyote vimekatwa kiustadi kama vimekatwa na mashine. Kisha mhudumu anakuletea bia baridi inatoa machozi na jasho, acha kabisa!