mr qns
Senior Member
- Jan 3, 2018
- 193
- 197
ukilewa unaamka na hangover,mara kutapika,kukojoakojoa,kutamani wanawake,matusi ,pesa nyingi inapotea,ukivuta dawa unakua na busara,unatafakari kwa kina,huwi mgomvi,unarelax,hutumii gharama,hakuna hangover...... pombe nakunywa,ganja navuta
semeni nyie bia na ganja kipi bora [emoji23][emoji23]š¤£
semeni nyie bia na ganja kipi bora [emoji23][emoji23]š¤£