Bia ya balimi

Bia ya balimi

krava

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
225
Reaction score
287
Bia ya balimi imeingia Moro kwa Mara ya kwanza bei yake inatofautiana toka sehemu moja hadi nyingine turiani 2000 na 1500
Moro mjini 1500 msamvu 1000 safari inapigwa bao taratiiiiibuuu
 
Naona Bia za Bei rahisi safari hii zinateka soko.Pilsner inanyweka balaa hata Eagle huenda ingenyweka sana sema chupa INA shepu mbaya.Balimi naye kaingia
 
Back
Top Bottom