meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
kifo hicho unakitangaza babu nomaa hiyo bwana...
kwa wale walevi ni muhimu kwenu kujua kuwa kuna bia yenye kilevi cha ukweli.waingereza wametengeneza bia yenye kilevi cha asilimia 65 na hivyo kuvunja rekodi ya dunia.
Kazi kwenu wazee wa viroba!
Dah!
Hebu tupieni jina la hyo Beer,mwantamanisha.
Heri mimi Mtakatifu..
Hivi wewe St. Paka Mweusi utakatifu wako ni kwenye nini? Au wewe ni M-T-A-K-A-V-I-T-U??
mkuu tofautisha bia na vinywaji vikali.za bongo na kenya zinazoua na kupofusha macho hamzioni kuwa ni kuvunja rekodi ila za waingereza tu....!!!!
Check mimate inavyokutoka loh...