Bia za kudandia zamponza mwanadada huyu

Bia za kudandia zamponza mwanadada huyu

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Mwanadada huyu ambaye kafika hapa Bar akiwa na mwanaume wake mida ya saa 12 jioni amegeuka kuwa kitoweo cha wahudumu wa kiume wa Bar ili kumsaidia kutimiza deni la sh. 90,000 lililoachwa na mwanaume wake baada ya wao kulewa huku mwanaume yule akiwa anamwambia waiter kuwa, "Na wale kwenye ile meza wapatie bia mbili mbili", "Wale pale wasambazie Safari, jaza meza!"

Mwanadada huyu bia zimekwisha mtoka kichwani, na tayari kashamaliza mgegedo na mhudumu wa kwanza kwa malipo ya 10,000. Bado ana safari ndefu sana dada yetu! Mwanaume huyo alimwambia kuwa ngoja atoke kidogo hapo nje ya Bar ili akavute mpunga kwenye simu waje waendelee kunywa, ndipo akatokomea mazima huku akiacha kileso chake na mdada lehani!

Mwanadada huyo anasema kuwa, walikuwa wamekosana na kuachana, siku ya leo ndo wamerudiana na wakakubariana kuja Bar kula bata!

Amelala yoo!!
 
Na ww unafurahia huo ukatiLi ...? Au umechukua hatua gAni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, pesa yote nimenunulia mafuta! Nimebaki na ya bia moja! Niko naendelea kumtazama binti kwa machungu huku nikiwatizama waiters wenye ugwadu mkali wakiulizana nani afuate huku wakiona aibu!

Pembeni yangu naona mijibaba yenye pesa zao na vitambi mfano wa Mshana Jr na Smart911 wakitazama tukio huku wakishushia bia za bei pasi na huruma!!
[emoji26][emoji26]
 
Inaumiza bar gan hay mamb yanafanyika nije niokoe jahazi🤣🤣🤣
 
Ngojea niendelee kutazama tukio!
Ntakuwa naleta mrejesho kwa kile kinachoendelea!
Binti wa watu mwenye weupe wake wa asili, umbo lake safi namba nane, kifua kizuri, kasura ka upole, virasta vilivyomwagika mgongoni na zigo huko nyuma anazidi kulimwaga chozi lenye sauti nyembamba huku wahudumu hao wakisonteshana nani afuatie!
 
Bichano, dez mill...
Porra!
Tuma location, maana umeshindaje hata ka picha.
 
Ngojea niendelee kutazama tukio!
Ntakuwa naleta mrejesho kwa kile kinachoendelea!
Binti wa watu mwenye weupe wake wa asili, umbo lake safi namba nane, kifua kizuri, kasura ka upole, virasta vilivyomwagika mgongoni na zigo huko nyuma anazidi kulimwaga chozi lenye sauti nyembamba huku wahudumu hao wakisonteshana nani afuatie!
On,mlipie hiyo 80 then usitake chochote in return labda akupe yeye, sometimes Kama pesa ipo tenda wema tu, huenda wema utarudi kwa wanao
Mimi nimewahi kuumwa Sana last year,I had cash ya kutosha tu ile natoka Hospital kupima nimekutwa na Covid najikongoja ili nikanunue dawa(ile Hospital hawauzi dawa) mama mmoja akanitta "we kijana mbona upo hivo unaumwa Nini" nikamwambia,yule mama alinichumia vijani Fulani vya kijani (wenyeji wa Moshi wanavijua) akanipa nikatafuna hapo hapo na kesho yake nikapata nafuu,nilikua wa kufa,vipimo nililipa Kama elfu 90,dawa ya Hospital laki hivi ila dawa ya yule mama ilisaidia zaidi
Nikajiuliza,Do I really deserve such a thing ? Jibu nikipata nimetendewa wema na stranger yule sababu wazazi wangu ndio wema sio Mimi,so wema huu utarudi hata kwa wanao
 
Mwambie aweke namba zake za m pesa tumsaidie
 
MREJESHO:
Kwenye saa sita kasoro, mhudumu mmoja mrefu, mwembamba, mweusi mwenye kinundu (apple) shingoni na sauti nzito amefanikiwa kupereka mzigo ndani kwa ajili ya mgegedo! hii ni baada ya kukabidhi 10,000 yake kwa kaunta! Mida ya saa nane kasoro ndipo wamerejea huku binti wa watu ni kwikwi tu! Amekuwa kama mtoto vile huku akitamka "J umenifanyia hivi, ipo siku" [emoji26][emoji26]

Binti wa watu amekuwa hapo kaunta kasimama, ndipo mwanababa mmoja kaingia na rafiki zake wawili mida hii, kuuliza, kaunta kasema anadaiwa laki moja ya bia, kanywa na mpenzi wake kisha kakimbiwa! (kaunta kaupiga wajuu)

Baba huyo mwenye kitambi chake kamhesabia kaunta pesa yake, laki moja! kisha kamwambia mtoto, "kaingie kwenye gari tuondoke, ntakurejesha asubuhi hapa", kawaaga rafiki zake kuwa wataonana asubuhi kwa maongezi zaidi

Gari hilo ndo linaondoka hivi, na mimi naelekea nyumbani taratibu!
 
On,mlipie hiyo 80 then usitake chochote in return labda akupe yeye, sometimes Kama pesa ipo tenda wema tu, huenda wema utarudi kwa wanao
Mimi nimewahi kuumwa Sana last year,I had cash ya kutosha tu ile natoka Hospital kupima nimekutwa na Covid najikongoja ili nikanunue dawa(ile Hospital hawauzi dawa) mama mmoja akanitta "we kijana mbona upo hivo unaumwa Nini" nikamwambia,yule mama alinichumia vijani Fulani vya kijani (wenyeji wa Moshi wanavijua) akanipa nikatafuna hapo hapo na kesho yake nikapata nafuu,nilikua wa kufa,vipimo nililipa Kama elfu 90,dawa ya Hospital laki hivi ila dawa ya yule mama ilisaidia zaidi
Nikajiuliza,Do I really deserve such a thing ? Jibu nikipata nimetendewa wema na stranger yule sababu wazazi wangu ndio wema sio Mimi,so wema huu utarudi hata kwa wanao
Mkuu omba namba ya m-pesa ya huyo binti umtumie! Sijui bado wanamshikilia?
 
Mwanadada huyu ambaye kafika hapa Bar akiwa na mwanaume wake mida ya saa 12 jioni amegeuka kuwa kitoweo cha wahudumu wa kiume wa Bar ili kumsaidia kutimiza deni la sh. 90,000 lililoachwa na mwanaume wake baada ya wao kulewa huku mwanaume yule akiwa anamwambia waiter kuwa, "Na wale kwenye ile meza wapatie bia mbili mbili", "Wale pale wasambazie Safari, jaza meza!"

Mwanadada huyu bia zimekwisha mtoka kichwani, na tayari kashamaliza mgegedo na mhudumu wa kwanza kwa malipo ya 10,000. Bado ana safari ndefu sana dada yetu! Mwanaume huyo alimwambia kuwa ngoja atoke kidogo hapo nje ya Bar ili akavute mpunga kwenye simu waje waendelee kunywa, ndipo akatokomea mazima huku akiacha kileso chake na mdada lehani!

Mwanadada huyo anasema kuwa, walikuwa wamekosana na kuachana, siku ya leo ndo wamerudiana na wakakubariana kuja Bar kula bata!

Amelala yoo!!
*Lehani
*Wakakubariana.

Kiswahili mtu hajui na kingereza hajui. Ndio maana anashangilia ujinga.
 
Back
Top Bottom