Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Mwanadada huyu ambaye kafika hapa Bar akiwa na mwanaume wake mida ya saa 12 jioni amegeuka kuwa kitoweo cha wahudumu wa kiume wa Bar ili kumsaidia kutimiza deni la sh. 90,000 lililoachwa na mwanaume wake baada ya wao kulewa huku mwanaume yule akiwa anamwambia waiter kuwa, "Na wale kwenye ile meza wapatie bia mbili mbili", "Wale pale wasambazie Safari, jaza meza!"
Mwanadada huyu bia zimekwisha mtoka kichwani, na tayari kashamaliza mgegedo na mhudumu wa kwanza kwa malipo ya 10,000. Bado ana safari ndefu sana dada yetu! Mwanaume huyo alimwambia kuwa ngoja atoke kidogo hapo nje ya Bar ili akavute mpunga kwenye simu waje waendelee kunywa, ndipo akatokomea mazima huku akiacha kileso chake na mdada lehani!
Mwanadada huyo anasema kuwa, walikuwa wamekosana na kuachana, siku ya leo ndo wamerudiana na wakakubariana kuja Bar kula bata!
Amelala yoo!!