Biasha gani inalipa dar?

Biasha gani inalipa dar?

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Ajira zina matatizo kibao. Watalaam naomba ushauri nianzishe biashara gani kwa sh.mil.1? Nipo Dar.
 
Mmh kama huna interest na biashara itakula kwako kumbuka 1m ni pesa ndogo sana kama hujui cha kuifanyia lakini ni pesa kubwa sana kwa anayejua biashara
Lakini fanya biashara ya nguo electronics au vibanda vya huduma za kifedha unaweza ukatoka, usijaribu kufanya biashara ya chakula wala madawa kuna utaalam wake
 
Ajira zina matatizo kibao. Watalaam naomba ushauri nianzishe biashara gani kwa sh.mil.1? Nipo Dar.

Nenda pale Tanganyika Rifles Upanga kama upo Dar waombe wakupe Form N ijaze...wakupe kitu chenye ncha kali halafu urudi mtaani ujiajiri!
 
Ajira zina matatizo kibao. Watalaam naomba ushauri nianzishe biashara gani kwa sh.mil.1? Nipo Dar.

alafu mwenye uzi kuwa makini unapoweka post unaweza kujikuta unatukana!
 
Hi kaka,

Hilo swali litakuwa na majibu tofauti kutokana na watu tofauti. Inategemea elimu yako, experience yako, mapenzi yako na soko la biashara unayotaka kufanya.
 
Nenda pale Tanganyika Rifles Upanga kama upo Dar waombe wakupe Form N ijaze...wakupe kitu chenye ncha kali halafu urudi mtaani ujiajiri!

WatakuJeryy Muro, siyo kila ushauri uupokeee na kuutekeleza.
 
Back
Top Bottom