Biashara 2 zinazomletea hasara Bakhresa

Biashara 2 zinazomletea hasara Bakhresa

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.

2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.

My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
 
Hujui biashara wewe unaota hewani tu

Timu ya Azam inatumika ku promote Brand ya Azam ,ndio maana hata makampuni yasiyo na timu mfano NBC,CRDB hufadhili ligi ili ku promote brand zao

Kuhusu Azam Pesa nayo huijui wewe
Wafanyabiashara wakubwa na wadogo nchi nzima wanaonunua na kuuza bidhaa za Azam wakiwemo hadi wauza Ashkrimu huweka pesa Azam Pesa.Mtu akiwa na biashara kubwa huanzisha vitu kama hivyo mfano kanisa katoliki hukusanya pesa nyingi za sadaka na miradi yao kama shule ,hospitali nk pesa zao zinawekwa Mkombozi Benki,nk

Wewe utakuwa ndio wale wasomi uchwara ambao darasani walikuwa wanakaa viti vya dirishani badala ya ku concentrate na kuelewa mwalimu anafundisha nini unashinda kuangalia nje ya dirisha la shule au chuo
 
Think different,
Think twice,

Si kila biashara lazima ikupe faida,

Vingine ni kama mabango kupush bidhaa zingine.

Sasa hivi kila Kona ya nchi hadi vijijini mtu ana azamtv , king'amuzi kinanunuliwa na kulipiwa kila mwezi.

Timu ya Azam haijaanza kufanya vibaya leo, Lakini ipo,inasajili,inauza na ipo kwenye ramani ya soka haijafeli kihivyo
 
1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.

2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.

My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
Kwani hata akiendelea kuendesha pesa zote anzovuna kutoka kwa mama ntilie anapeleka wapii akati hana foundation zozote
 
Bora aachane na azam aidhamini hata simba tu, kwa wachezaji ambao ana uwezo wa kuwasajili hawastahili kuchezea timu ndogo kama azam, hii timu ina kila kitu inachokosa ni mashabiki tu kitu ambacho ni moja ya nguzo muhimu za mafanikio ya timu
 
Hujui biashara wewe unaota hewani tu

Timu ya Azam inatumika ku promote Brand ya Azam ,ndio maana hata makampuni yasiyo na timu mfano NBC,CRDB hufadhili ligi ili ku promote brand zao

Kuhusu Azam Pesa nayo huijui wewe
Wafanyabiashara wakubwa na wadogo nchi nzima wanaonunua na kuuza bidhaa za Azam wakiwemo hadi wauza Ashkrimu huweka pesa Azam Pesa.Mtu akiwa na biashara kubwa huanzisha vitu kama hivyo mfano kanisa katoliki hukusanya pesa nyingi za sadaka na miradi yao kama shule ,hospitali nk pesa zao zinawekwa Mkombozi Benki,nk

Wewe utakuwa ndio wale wasomi uchwara ambao darasani walikuwa wanakaa viti vya dirishani badala ya ku concentrate na kuelewa mwalimu anafundisha nini unashinda kuangali nje ya dirisha la shule au chuo
Kwa mujibu wa mtoto wake Abubakar Bakhresa, timu ya Azam inaendeshwa kwa hasara na inamuumiza sana mzee wake. Tafuta interview yake aliyofanya na UTV miaka 10 ya Azam Tv.
 
1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.

2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.

My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
Pale kapuku anapimshauri tajiri. Huki ni kituko kama sio kichekesho
 
1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.

2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.

My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
Wewe ndiyo muhasibu wake? Mimi natumia Azam pesa fresh ,umeme huku hadi wa mia 5 unanunua tofauti na mitandao mingine mpaka uwe na buku.

Timu ya Azam inapata matangazo ya biashara kutoka Azam ambayo ni very expensive kama angeilipa timu nyingine.
 
Ndio sadaka yake
 
Mbona na Mo alisema Simba nayo inamtia hasara? Mbona nayo haujaiweka? Biashara ambayo inahitaji sponsor ambayo hauuzi bidhaa ndivyo zinavyokuwa ,hao wanatoa huduma zina ups and down.

Kwa Azam Pesa ni matter of Time tu bado changa inapambana na ma-giants haiwezi kutoboa kwa uharaka.
 
Back
Top Bottom