Je unauthibitisho wowote wa utafiti uliofanya ili kufikia hili hitimisho?Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.
Hujui biashara wewe unaota hewani tu1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.
2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.
My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
Kwani hata akiendelea kuendesha pesa zote anzovuna kutoka kwa mama ntilie anapeleka wapii akati hana foundation zozote1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.
2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.
My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
Maskini marufuku kumshauri tajiri apambane na hali yakeUna mshauri tajiri, safi sana for the audacity
Kwa mujibu wa mtoto wake Abubakar Bakhresa, timu ya Azam inaendeshwa kwa hasara na inamuumiza sana mzee wake. Tafuta interview yake aliyofanya na UTV miaka 10 ya Azam Tv.Hujui biashara wewe unaota hewani tu
Timu ya Azam inatumika ku promote Brand ya Azam ,ndio maana hata makampuni yasiyo na timu mfano NBC,CRDB hufadhili ligi ili ku promote brand zao
Kuhusu Azam Pesa nayo huijui wewe
Wafanyabiashara wakubwa na wadogo nchi nzima wanaonunua na kuuza bidhaa za Azam wakiwemo hadi wauza Ashkrimu huweka pesa Azam Pesa.Mtu akiwa na biashara kubwa huanzisha vitu kama hivyo mfano kanisa katoliki hukusanya pesa nyingi za sadaka na miradi yao kama shule ,hospitali nk pesa zao zinawekwa Mkombozi Benki,nk
Wewe utakuwa ndio wale wasomi uchwara ambao darasani walikuwa wanakaa viti vya dirishani badala ya ku concentrate na kuelewa mwalimu anafundisha nini unashinda kuangali nje ya dirisha la shule au chuo
Pale kapuku anapimshauri tajiri. Huki ni kituko kama sio kichekesho1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.
2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.
My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
Wewe ndiyo muhasibu wake? Mimi natumia Azam pesa fresh ,umeme huku hadi wa mia 5 unanunua tofauti na mitandao mingine mpaka uwe na buku.1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.
2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.
My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
Kwa mujibu wa mtoto wake Abubakar Bakhresa, timu ya Azam inaendeshwa kwa hasara na inamuumiza sana mzee wake. Tafuta interview yake aliyofanya na UTV miaka 10 ya Azam Tv.Wewe ndiyo muhasibu wake? Mimi natumia Azam pesa fresh ,umeme huku hadi wa mia 5 unanunua tofauti na mitandao mingine mpaka uwe na buku.
Timu ya Azam inapata matangazo ya biashara kutoka Azam ambayo ni very expensive kama angeilipa timu nyingine.
1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.
2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.
My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
Ndio sadaka yake1. Timu ya Azam. Hii timu imesajili wachezaji ghali na inalipa mishahara na posho kubwa lakini uwezo wake uwanjani hauridhishi hata kidogo.
2. Azam Pesa. Pamoja na promo zote, watu wengi hawajashawishika kutumia huduma hii.
My take: Mzee azifunge hizi biashara anunue mabasi hata kama wafanya biashara wengine watanuna ila atapata wateja wengi sana.
Timu ya Azam ilianzishwa mwaka 2004 mkuuTho zipo biashara zinazotumia mda mrefu kuanza kuingiza faidia.
Sometime nyingine zinachukua mpka miaka 10+
Mbona na Mo alisema Simba nayo inamtia hasara? Mbona nayo haujaiweka? Biashara ambayo inahitaji sponsor ambayo hauuzi bidhaa ndivyo zinavyokuwa ,hao wanatoa huduma zina ups and down.Kwa mujibu wa mtoto wake Abubakar Bakhresa, timu ya Azam inaendeshwa kwa hasara na inamuumiza sana mzee wake. Tafuta interview yake aliyofanya na UTV miaka 10 ya Azam Tv.