Biashara 5 unazoweza kufanya ukiwa na mtaji mdogo

Ufigaji wa kuku unahiyaji pesa mkuu.
Magonjwa? Chakula, banda n.k
Ufugaji unafaida kama na kama tu unamtaji
Kuku wa kienyeji hawana changamoto kubwa sana ya maradhi kama eneo lako la ufugaji unaliweka katika hali ya usafi na kutoingiliana na kuku wa jirani.
 
Mkuu hilo si kosa lake ni kosa la kimfumo kwa Watanzania wengi. Watanzania tulio wengi hatukuzoeshwa kwenye maisha ya kujiajiri, tunapenda kuajiriwa. Ni muhimu sasa tukaanza kubadili mind set zetu kwa kuwaza zaidi kujiajiri. Ukitaka somo la kujiajiri nenda Wilaya ya Makete (ingawa wengi tumeaminishwa ni uchawi), utaona vijana wengi kule wanaanza na mitaji midogo ya sh 100,000 either kwa kulima viazi au kununua miti na baadaye kuwa wasafirishaji wakubwa wa mbao. Akiona mtaji unakuwa mkubwa anafanya biashara upande mwingine analima. Ndio matajiri wa Makete wanavyopata utajiri. Ila kujinyima (kutofanya anasa) ni sehemu mojawapo ya falsafa yao ya kufanikiwa kibiashara.
 
Daah bas wabongo tuna shida kichwani asee
 
Ufugaji wa bata kidogo unitoe ila magonjwa yalinifelisha,sijakoma naanza upya
Nalog off
Soko lake likoje? Na unafugia mkoa gani na vp kuhusu chakula unawapa aina gani ya chakula mie nafuga ila sio kibiashara ningependa kujifunza kwako.
 
Soko lake likoje? Na unafugia mkoa gani na vp kuhusu chakula unawapa aina gani ya chakula mie nafuga ila sio kibiashara ningependa kujifunza kwako.
Mkuu mie nawafugia nje ya Tanzania
Nalog off Z
 
Nyumba za kupanga ni changamoto kubwa kwa sis tunaoanza maisha aseeeee
 
Kweye makaratasi hakuna biashara ngumu na biashara zote zina faida kubwa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba aingie field
 
Vipi jamani kama unataka kuanzisha biashara ya kuuza nguo za mitumba au sendo za kimasai kwa mikoani mtaji wa laki 2500000 hautoshi..?
 
Vipi jamani kama unataka kuanzisha biashara ya kuuza nguo za mitumba au sendo za kimasai kwa mikoani mtaji wa laki 250000 hautoshi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…