Biashara ambayo hautokaa upate hasara

Kuwekeza kichwani bila mchongo au mtaji ni uongo aisee....
 
Maarifa, utaalam, upeo wa mambo na uelewa hupelekea kufanya maamuzi sahihi Kwa wakati unaofaa. Hapo ndio kiini Cha hii mada, ukiona unapelea maarifa au hauliewewi jambo vizuri, wekeza kupata hayo maarifa na ujuzi, hautapata hasara.

Absolutely
 
Tuko hapa kujifunza, kwa nn nikuone tapeli.

Tupe maarifa.
 
Bahati mbaya hao walimu wao biashara zimewashinda....

 
Madini yanachimbwa na vilaza wakipata pesa wanakuja kupiga watu mtaani ili wawalipe haha
 
Mimi biashara yangu haidili na muafrica hata mmoja .dont waste your time
Still ego inakuendesha ,mbona wewe Ni mwafrika ama wewe Ni ngozi ya nguruwe aka kitimoto. So ego yako inakuambia kuwa umesha level up. POA ngoja tukusubirie Forbes ama Bloomberg,Fox news, Reuters, CNBC,Yahoo and BBC financial news. Kila la heri. Wala sijisumbui kwanza hapa Niko nasoma Mana nachambua brain zetu zinavyofanya Kazi. Yani nadili na behavior of human beings. Why we do what we do, why we talk what we say.
The your inner core beliefs Anchorage. So relax.
Relax bana you're so special and your unique wewe dili na wazungu ,jitahidi ukaji boast huko kwao sasa ama hapa kwa.dagaa ndio unaona pumzi ya kupumua.
Ni sawa una bachelor unaenda kwa madogo olevo unawaanza kuwatishia masomo ya chuo ama ulivyo special kuwa umesomea USA etc.
Lete story kamanda. But beat it in your mind that am capable to annihilate brain/mind of me into atomic level.
 
Maarifa ndio msingi.

Lakini tutoe tongo tongo ni Biashara gani yenye return nzuri namna hiyo ili ikiwezekana tuitafutie maarifa.

$50000 kwa mwaka (kama milioni 117 hivi, yaani inaingiza milioni 9 kwa mwezi.)

Tutoe tongo tongo tafadhari.
Ukishaona hii ujue ni motivational speaker yupo kazini, jiulize ni biashara gani..maana hajasema kakalia kapata 50K USD

Kwa biashara gani..hajataja
 
Mkuu MKIBAIGWA share nasi machimbo ya maarifa...iwe blogs, short courses kama hizo ulizohudhuria utakuwa umetusaidia sana sana

Nafikiri inabidi wewe mwenyewe kulingana na mazingira Yako na Hali uliyonayo inabidi uweze kujua unahitaji kujipiga msasa eneo Gani. Mahitaji yanatofautiana. Ukipatiwa material ya Kilimo wakati wewe unawezafanya vizuri kwenye madini au mifugo haitakua sawa.

Lakini wewe mwenyewe ukiona uko vizuri eneo flani na ukataka kujikuta huko, utafanya Kila namna kujiendeleza zaidi.
 

Maandishi yalivyo marefu hata sisomi
 

Sure
 
Ukishaona hii ujue ni motivational speaker yupo kazini, jiulize ni biashara gani..maana hajasema kakalia kapata 50K USD

Kwa biashara gani..hajataja

Haahaaa eti motiven speaker.

Hata mimi nilijua $50k ni hela nyingi but ukiipata ni hela ya kawaida sana


Hata wastaafu wanazipata na kuzimaliza kila mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…