Biashara ambayo hautokaa upate hasara

Biashara ambayo hautokaa upate hasara

It must be forex $50K ni milioni 100 za kitanzania i dont know jamaa anazimake vipi though he did'nt express the idea to us.

lakini daah what a huge earning like that! Big up and congrats broh for the knowledge.

now let us knowing what a deal was it???

Nilianza forex ila nilikuja kuacha 2019


Sijapata hela kwa njia ya fx na simshauri mtu afanye fx labda afungue brokerage company “the house always win”
 
Nilianza forex ila nilikuja kuacha 2019


Sijapata hela kwa njia ya fx na simshauri mtu afanye fx labda afungue brokerage company “the house always win”
Okay ulitumia source gani kuearn mkuu, shusha madini wote tupate. $50K its a huge cash, no one dislike it.
 
Maarifa na Mtaji ni vitu ambavyo vinategemeana kweny suala zima la utafutaji.

Kwan mtaji(pesa) ndo unakup nini ukitafutie maarifa kwani kipo ndani au nje ya uwez wako.

Coz dunia ya sasa hivi maarifa yanauzwa je una pesa ya kuyamudu hayo maarifa unayoyahitaji???

Na hat ukiyapat una uwezo au support w kuyatekeleza???

Afu ndo uamue!!!! Nawasilishaaa.
 
Kama kweli unataka kufanikiwa anza kwa kuwekeza kwenye maarifa.

Watanzania wengi akipata hela anawaza kufungua biashara. utasikia nina mil 100, mil 5 au nina 500k nifanye baishara gani?

“Biggest investment you make is to invest in your head”

Hakuna biashara mbaya au nzuri ishu ni kuwa na taarifa sahihi na maarifa sahihi na hayo utayapata kwa kujifunza kupitia vitabu, blogs, social media na youtube au kulipia seminars.

Mimi my current business idea niliipata Kenya nilipoenda kujifunza na nilitumia 500k yangu niliyokuwa nayo kwenda Nairobi kujifunza .

This year alone i have made $50k

Never ask again “nina kiasi xxx niwekeze kwenye biashara gani?”

Hudhuria semina,soma vitabu,soma blogs,social media lakini pia safiri kajifunze nchi zilizoendelea

Hakuna mtu aliepata hasara baada ya kupata maarifa.
Business ideas are abundant these days, it's just a matter of choice
 
Tuna "madikita" na "maporofesa" masikini kabisa hapa nchini hadi wamekuwa CHAWA, hayo maarifa hawana?
 
Back
Top Bottom