Biashara ambayo hautokaa upate hasara

Ireland ni moja kati ya Nchi ambayo 99% ya watu wake wama maatifa zaidi,Je Ireland ni tajiri kuliko China??
Unajua China wakiondoka wawekezaji itabakia na Nini. Pia usiwe unacheki utajiri kiujumla. Cheki na ratio yake population.wewe una wanawake kumi na watt jumla 100 nanyie wote mko 111 una assets za bilioni 100 mie Niko na wanangu watatu tu. Na Nina 25bilioni so Nani tajiri nadhani unacheki kwa iyo ishu..
 
Una hoja lakini, ngoja nijazie kidogo. Kuna investors wa aina nyingi sana but the most popular wako wa aina mbili kubwa.
1.Credited investors :Hawa ni wale watu wenye mitaji ila hawana maarifa wala uzoefu wa investiment yoyote.
2.Sophisticated investors :Hawa ni wale watu wenye 3E's. Education, Experience and excess cash. Hawa mara nyingi huanza na mitaji mdogo, then through experience wanakuwa mpaka level ya excess cash. So maarifa (Education /knowledge) pekee haiwezi stand if you don't practice and fail several times.
 
Mimi nimekuelewa safi sana mkuu hiko hivyo umeandika ukweli kabisa taharifa muhimu ndio zinahitajika mimi nimekuja kutambua kuna biashara nyingi sana za mitaji midogo hii ya elfu amsini hadi laki zenye faida nzuri kwakua zinamzunguko mzuri na watu wanajenga kupitia biashara hizo, sema watanzania wengi tumejaa dharau et mtaji wa laki utafanyia nini ka hela kadogo hivyo nawakati kuna watu wanajenga kupitia mtaji wa namna hiyo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Kama unamaliza chuo ndipo unaanza kufikiria kuhusu maisha utakuwa umechelewa, matokeo yake ndiyo hayo ya kukosa hata hela ya kupanga chumba.
Unasoma ili uelimike , ukiona upo kwenye hatuo hiyo jua huja elimika .
Hata ukipata kazi huwezi leta matokeo chanya kwenye kampuni.
 
Kupanga chumba cha kuanzisha tuition,ni jambo moja,kuendeleza hapo ndiyo shughuli,unahitaji resources.Usikomenti kama vile ndiyo umekuja leo Tanzania,na hujui yanayowasibu vijana wengi,ambao wanauhitaji wa ajira stahki,siyo kudundulizadunduliza.
 
Japo ujamalizia but a better investment ni kwa watoto,afya yako ya mwili na ya akili work on that and prove me wrong ndio maana biashara ya hospital na shule haiwezi kufail kwa namna yoyote..
 
Naendelea kusoma comments
 
Wote wanao attack wealth creation nazani bado hawajawahi kuchapwa vizuri na umaskini


Umaskini ni mbaya ndugu tutafute hela hope one day utaelewa



“Our children will never inherit excuses”
 
Pole mkuu, maana nimesikia watanzania wakikutukana sana na wengine wakikukejeli kwa kuwalazimisha kusoma maana wao hawataki kusoma vitu vya maana zaidi ya kusoma porojo za mastaa wao uchwara. Kwa kifupi, hakuna mtanzania atafaidika na somo lako maana hawasomi.
 
Maarifa ndio msingi.

Lakini tutoe tongo tongo ni Biashara gani yenye return nzuri namna hiyo ili ikiwezekana tuitafutie maarifa.

$50000 kwa mwaka (kama milioni 117 hivi, yaani inaingiza milioni 9 kwa mwezi.)

Tutoe tongo tongo tafadhari.
It must be forex $50K ni milioni 100 za kitanzania i dont know jamaa anazimake vipi though he did'nt express the idea to us.

lakini daah what a huge earning like that! Big up and congrats broh for the knowledge.

now let us knowing what a deal was it???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…