Biashara Masasi inategemea na mtaji wako kama mtaji wako unaruhusu kuna biashara kama ya kuuza hijabu, mitandio, madira, ushungi inalipa sana na inauzika.. hata vifaa vya ujenzi pia maana Masasi inatanuka ni mji unaokuwa na unaendelezwa na wageni..
Pia biashara za kuuza vitu vya electronics na kama mtaji si mkubwa waweza fanya biashara ya vyakula(mambo ya kuuza unga wa sembe maana Masasi ni adimu, sukari na makolokoro mengine)