Biashara ambayo inaweza kufanyika Masasi mjini Mtwara

Biashara ambayo inaweza kufanyika Masasi mjini Mtwara

Supervision

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
265
Reaction score
203
Niaje wazee mpo? Tupo katika kuendelea kutengeneza pesa. Siku siyo nyingi nitakuwa Masasi mjini, vipi naweza nikafanya biashara gani Masasi mjini inayolipa haraka kule Mtwara. Naheshimu mawazo Yenu
 
Ukifika Masasi nitafute nikupe deal za maana.
 
Biashara Masasi inategemea na mtaji wako kama mtaji wako unaruhusu kuna biashara kama ya kuuza hijabu, mitandio, madira, ushungi inalipa sana na inauzika.. hata vifaa vya ujenzi pia maana Masasi inatanuka ni mji unaokuwa na unaendelezwa na wageni..

Pia biashara za kuuza vitu vya electronics na kama mtaji si mkubwa waweza fanya biashara ya vyakula(mambo ya kuuza unga wa sembe maana Masasi ni adimu, sukari na makolokoro mengine)
 
Kauze dagaa wa Mwanza na Dagaa nyama Masasi kuna uhaba wa Dagaa sana hata mchele pia inalipa pale om boy.
 
Back
Top Bottom