GIRITA
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 4,432
- 5,864
Atari sana ata biashara ya mapenzi imekuwa jiwe aisee hali si shwarr.Dada poa nadhan ndo wana hali ngumu kuliko, nani anataka kugusana kihasara siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atari sana ata biashara ya mapenzi imekuwa jiwe aisee hali si shwarr.Dada poa nadhan ndo wana hali ngumu kuliko, nani anataka kugusana kihasara siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo lako Amu wewe wakishua
vibanda umiza ni mabanda ya kuangalia TV
Huku ndio kwa kuwekeza sasa.
Wanapaka Mshidede tu,Hivi dadapoa wanatumia sanitizer kuwapaka wateja wao mwili mzima kujikinga na mnyama Covide?
Wateja wao mnaweza kutoa ufafanuzi maana kuna ubishi mkubwa sana hapa kijiweni kwetu.
sio ligi tu za mpira,kila kitu ambacho ungetamani ukione kwenye TVHapana lakini hilo neno limekaa kimtaani sana ndo mana nimeshindwa kuelewa.
Mlikuwa mnategemea ligi za mpira eti?
Mkuu daladala wanafikisha hesabu kwa kujaza watu. Sasa hivi hakuna kujaza abiria ni mwendo wa 'level seat' wanafanyaje ili hesabu isitetereke?vibanda umiza Acha tu maumivu yake Mungu tu ndie ajuae.
Dala Dala watoe,hao wakikosa hesabu ni uzembe wao na kutojiongeza.
sio ligi tu za mpira,kila kitu ambacho ungetamani ukione kwenye TV
Ila naona wanajitahidi kuwalipisha watu nauli ya kwenda na kurudi,Mkuu daladala wanafikisha hesabu kwa kujaza watu. Sasa hivi hakuna kujaza abiria ni mwendo wa 'level seat' wanafanyaje ili hesabu isitetereke?
Hiyo Biashara ya Uber ni kama ipo IcuBiashara ya Uber na Taxify
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wale wa kugeuza nalo?Ila naona wanajitahidi kuwalipisha watu nauli ya kwenda na kurudi,
Maana mara nyingi gari zao hujaa kabla hazijafika mwisho wa Route.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu daladala wanafikisha hesabu kwa kujaza watu. Sasa hivi hakuna kujaza abiria ni mwendo wa 'level seat' wanafanyaje ili hesabu isitetereke?
wanaangalia kwa wapi sasa wakati mikusanyiko imekatazwa?Kwani mtaani huko mtaani hata taarifa za habari si wanaangalia au?
wanaangalia kwa wapi sasa wakati mikusanyiko imekatazwa?
Mkuu sasa hivi daladala zimeruhusiwa kuingia mjini,maana yake zipo daladala za kutoka k.koo to mbezi mwisho,Mbagala to mbezi beach yani route zote saivi daladala zinaenda (uwe na kibali tu ambacho ni 15,000) wanachofanya daladala sasaMkuu daladala wanafikisha hesabu kwa kujaza watu. Sasa hivi hakuna kujaza abiria ni mwendo wa 'level seat' wanafanyaje ili hesabu isitetereke?
Yes nawazungumzia hao,Japo hesabu haiwezi kuja sawa kama ya kipindi kile cha kusimamisha abiria ila ni mbinu wanayotumia kufidia pesa wanayoipotezaWale wa kugeuza nalo?
lakini hilo halitoshi dala dala sasa hivi zile sehemu ambazo watu walikua wanasimama nimeshakuta daladala zaidi ya mbili zimetengeneza mabenchi kuunganisha sitii mbili za kushoto na mbili za kulia kwa kuweka benchi kati kati,Mkuu daladala wanafikisha hesabu kwa kujaza watu. Sasa hivi hakuna kujaza abiria ni mwendo wa 'level seat' wanafanyaje ili hesabu isitetereke?
Oh nilifikiri una mbinu mbadala kumbe mbinu unayoisema ni kuvunja sheria. Faini yake ni 30,000/-. Kilwa road nilishakuta traffic anasimamisha daladala moja moja wanakagua. Unafikiri huu uvunjaji wa sheria dereva ataufanya kila siku kila trip?lakini hilo halitoshi dala dala sasa hivi zile sehemu ambazo watu walikua wanasimama nimeshakuta daladala zaidi ya mbili zimetengeneza mabenchi kuunganisha sitii mbili za kushoto na mbili za kulia kwa kuweka benchi kati kati,
ambapo lile benchi linakaliwa na watu wawili ambao hawana miili mikubwa,kwa hvyo ile nafasi ya kusimama kuna daladala imetengeneza benchi watu wanakaaa. hivyo watu wanaingia kwa idadi ile ile,hela ambayo wanapoteza makonda ni ile ya kusimamisha watu mlangoni ambayo hiyo hela wanaijazia na gepu la mizigo,watu wanalipia mizigo.
ki ufupi kwasasa daladala wanapiga hela nzuri kuliko hata ilivyokua mwanzo,matajiri wanalijua hilo ndio maana hamna tajiri alieshusha hesabu,Hesabu ya gari ipo pale pale costa zote hesabu imesimama pale,Eicher zote hesabu nayo ipo pale pale no excuse.
Madereva wanapata hela mkuu tena sana,kuna biashara zimeyumba ila sio ya usafiri.
Wakugeuza nalo hata kabla ya kipindi hiki walikuwepo njia zile zenye shida ya usafiri. Kama ulivyosema mbinu haiwezi kuleta hesabu kama wakati ule wanajaza watakavyo.Yes nawazungumzia hao,Japo hesabu haiwezi kuja sawa kama ya kipindi kile cha kusimamisha abiria ila ni mbinu wanayotumia kufidia pesa wanayoipoteza
Sent using Jamii Forums mobile app