Biashara ambazo hali ishakuwa mbaya kipindi hichi cha Corona

Biashara ambazo hali ishakuwa mbaya kipindi hichi cha Corona

Mkuu sasa hivi daladala zimeruhusiwa kuingia mjini,maana yake zipo daladala za kutoka k.koo to mbezi mwisho,Mbagala to mbezi beach yani route zote saivi daladala zinaenda (uwe na kibali tu ambacho ni 15,000) wanachofanya daladala sasa

wanachukua abiria stend konda anatangaza Mwisho ubungo,wanachukua level seat abiria mpk ubungo,wakifika ubungo abiria wote wanashuka kisha konda wanatangaza tena Gari inaenda k.koo,wanapanda abiria wengine wa k.koo,wakifika k.koo

kwenye kugeuza kuja mbezi Konda anatangaza Mbezi 2000 abiria wanagombania wakutosha,sasa piga hesabu ya 2000 kwa kichwa kwa level seat,nafasi za kusimamisha daladala wanapakia mizigo ambayo nayo inalipiwa nauli.

Tukumbuke mwendokasi hawaruhusu mizigo mikubwa,kwahyo abiria wenye mizigo wote sasa hivi wanakimbilia daladala na kwa nauli ya 2000 + 1000 ya mzigo wake anaona ni fair sana,maana kabla ya hapo ilim bidi abiria mwenye mzigo apande Noah ambayo nauli yake ni 3000 kwa yeye na mzigo wake 2000 jumla 5000

kwa sasa hivi daladala zimekuja analipa 3000 yeye na mizigo yake from k.koo to mbezi mwisho (huoni jinsi ambavyo daladala wanapiga pesa nyingi sasa hivi)
Sawa mkuu.
 
Kampuni za ukaguzi wa mahesabu - wakaguliwa wameji "LOCKDOWN" majumbani mwao
 
Oh nilifikiri una mbinu mbadala kumbe mbinu unayoisema ni kuvunja sheria. Faini yake ni 30,000/-. Kilwa road nilishakuta traffic anasimamisha daladala moja moja wanakagua. Unafikiri huu uvunjaji wa sheria dereva ataufanya kila siku kila trip?
hata kabla ya level seat biashara ya daladala inaendeshwa na uvunjaji wa sheria
 
Aisee mwenzenu Mimi toka juzi nimefungiwa pooltable Sasa ndo ilikuwa inaniweka mjini kwa Siku nilikuwa siwezi kukosa elfu kumi na tano 15,000 kwenda juu Sasa nimefungiwa Na cjui ni lini covid19 itaisha cha kushangaza ni kwamba pooltable wanafungia muda huo bar, grocery wanaziacha wakat kule ndo hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mwenzenu Mimi toka juzi nimefungiwa pooltable Sasa ndo ilikuwa inaniweka mjini kwa Siku nilikuwa siwezi kukosa elfu kumi na tano 15,000 kwenda juu Sasa nimefungiwa Na cjui ni lini covid19 itaisha cha kushangaza ni kwamba pooltable wanafungia muda huo bar, grocery wanaziacha wakat kule ndo hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu! Ilibidi hata bar na kumbi za starehe zifungwe kabisa...
 
Back
Top Bottom