Nakushauli hiyo pesa tafuta mtu anayeenda China au Dubai mwagize smartphone used Kama iPhone 6na 6+ au Samsung kama hiyo pesa unaweza ukaletewa hata 6pc au zaid itategemeana zikifika zitangaze kupia magroup ya biashara ya Facebook , Whatsapp, Instagram nk utakuwa ukipata mteja anafuta mwenyewe hapohapo chuoni au Kama unayonafas unampelekea ila hakikisha unauza simu nzuri