Biashara ambazo mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kufanya bila kuathiri masomo yake

Kuna Baba mmoja alikuwa na watoto 3 wote umri 21-25.

Aliwapa million 100 kila mtu na yule Baba alisafiri

1. Alikwenda shule aliishia form six hivyo Alisona first degree

2. Alifungua duka alinunu bidhaa na kujaza dukani

3. Alitafuta nyumba ya kupanga kwenye posh area, alinunua gari, alijipiga shopping kali yeye mwenyewe

Baada ya miaka mitano Baba yao alirudi
1. Alikuwa anasoma masters program
2. Duka linaendelea lakini matatizo ya biashara pia ni mengi
3. Anadaiwa kodi y nyumba.
 

Sky eclat umenifanya nitoke from being a visitor to a member hapa jf

Shukran
 
You must be experienced or you are a parent. Seems like you care a lot about the OP.

To OP... Enzi nipo Tanzania, niliona vijana wananunua DSLR camera nakupiga picha wanafunzi. Hii business inalipa. And I will tell you why. Unajua they say if you find people's problems, and you find a solution then you will become rich.

Problem hapa ni kwamba University age a lot of students wapo active na social media. Na asilimia kubwa ya students unakuta wanatumia Tecno. Sasa ukiwapiga picha na professional camera then wakapost... They will get attention and that's what they want. Ukiwa mpiga picha mzuri am telling you utapata wateja wengi. Hapa panga price. Unaweza sema one pic 1000 au unasema elfu 10 for 30 Minutes of my time. Yani unampiga anazotaka but ndani ya nusu saa. This is only if you are an expert with Photoshop maana unatakiwa uattract more people with your work.

Then side note, unaweza piga pics around your University, make an Instagram page of it. You never know maybe Diamond Platinumz atakuhire uwe part-time photographer wake.

Nimeona kuna mtu amesuggest biashara ya kukopesha. Well this is a big one. Hii ukitoboa umetoboa kweli. Tatizo risks nyingi. I don't wanna get deep. Do your research. Nchi niliopo kuna msela anatukopeshaga na ni mbongo mwenzetu, now kanunua Range Rover, kahamia kwenye nice apartment. Na ana mdada Mzungu, sura Kama Angelina Jolie... Niishie hapo.

P.s enjoy your University days, make the most of it. Play hard work hard. Good luck.

-callmeGhost
 
sio kwamba na care sana about OP....i am just being a goood listener.. which is not bad...thank you bro
 
Stationary na photo copier ndogo chumbani pamoja na printer lakini ukubali usumbufu
Nunua note books pens plastic paper wallets etc
Bila kusahau internet services, games za watoto kucheza, vitu vidogo vya simu na electronics, weka fundi wa desktop/laptop, weka hata mobile electronic transfer moja...
 
Mwanafunzi wa chuo anapaswa afanye kazi gani ya mtandaoni ili ainguze pesa itakayomkimu katika maisha yake ya uanafunzi
 
Mwanafunzi wa chuo anapaswa afanye kazi gani ya mtandaoni ili ainguze pesa itakayomkimu katika maisha yake ya uanafunzi
Ambayo ni rahisi kuingiza pesa ni forex biashara nyingine za mtandao ni utapeli utapoteza muda. forex unaweza fanya uku unapiga lecture darasani ila angalizo ukiingia kichwa kichwa unaweza poteza pesa yote ulionayo ndani ya muda mfupi.
 
Ambayo ni rahisi kuingiza pesa ni forex biashara nyingine za mtandao ni utapeli utapoteza muda. forex unaweza fanya uku unapiga lecture darasani ila angalizo ukiingia kichwa kichwa unaweza poteza pesa yote ulionayo ndani ya muda mfupi.
Mhh inaonekana inahitaji umakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…