ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
Shukran ndugu yangukuuza boksa, chupi, kuuza ubuyu wa zanzibar, kuuza mapochi, kuuza bisi(popcorn) kuuza urembo wa wanawake(hereni, nk) kuuza vipodozi asilia manjano, scrub za asili, vitu vyote mtaji wake ni elfu 5 na kuendelea maximum hata elfu 20 unaanza biashara, vinaweza bebeka kwenye begi lako ukatembea navyo kokote. All the best
Mawazo ya kimasikini kabisa, hapa limtu litamaliza chuo alafu lirudi kwao kwenda kusubiri ajira ambazo azipo, biashara zinaanzia chuo baada ya chuo ni mwendelezo. Ukisoma tuu utafaulu tuu alafu unaweza kufeli maisha, sasa kipi bora?Biashara ya kufanya ukiwa chuoni huwa ni moja tu mkuu. KUSOMA KWA BIDII!
Angalia sana uwezo wako kabla hujajikita na kugawa muda wako. Watu huwa wanachanganya haya mambo na matokeo yake yote mawili yanashindwa!
Ukiishi kama mwanafunzi, uka control maisha yako na kujiweka kwenye nafasi ya mwanafunzi utatoboa ila ukitaka kuwa mwanafunzi lakini akili na spending kama za mfanyabiashara/mfanyakazi utajikuta unatawaliwa na ufanye biashara gani.
Hujani crush ila mawazo yangu sio ya kimaskini nina hakika. Wakati nasoma sikufanya biashara nilisoma tu nikatumia muda kusoma na sasa mimi si masikini pia maana natumia muda kufanya kazi na biashara na si kusoma simple!Mawazo ya kimasikini kabisa, hapa limtu litamaliza chuo alafu lirudi kwao kwenda kusubiri ajira ambazo azipo, biashara zinaanzia chuo baada ya chuo ni mwendelezo. Ukisoma tuu utafaulu tuu alafu unaweza kufeli maisha, sasa kipi bora?
Watu tunasoma na mishe mishe tunafanya, tunapata ela ya kujikimu na tunafaulu pia mkuu,
Sorry kama nitakua nimeku-crush mawazo yako ila dogo awaze vizuri aanze chap kwa haraka
Mtu had amefika chuo means anajitambua na anajua kilichompeleka huko ni nn....Biashara ya kufanya ukiwa chuoni huwa ni moja tu mkuu. KUSOMA KWA BIDII!
Angalia sana uwezo wako kabla hujajikita na kugawa muda wako. Watu huwa wanachanganya haya mambo na matokeo yake yote mawili yanashindwa!
Ukiishi kama mwanafunzi, uka control maisha yako na kujiweka kwenye nafasi ya mwanafunzi utatoboa ila ukitaka kuwa mwanafunzi lakini akili na spending kama za mfanyabiashara/mfanyakazi utajikuta unatawaliwa na ufanye biashara gani.
Well said broo!!! Be blessed aseeNunua macover ya simu chaji earphones protectors etc na accesories za simu kutoka kkoo na kwa masupplier wakubwa kwa bei ndogo then uza kwa wanafunzi wenzako hasa hasa mademu. Kuwa mwaminifu utapata deals kibao ata mali kauli utapata kwa wenye mali wakubwa. Utapiga pesa sana cha msingi build network yako ya wateja huku ukikuza mtaji ata kesho ukimaliza chuo utakuwa ushakomaa ni muendelezo tu.
Ila dogo chondechonde umeenda chuo kusoma hakikisha unakomaa na shule usisahau kilichokupeleka shule piga msuli huku unapiga biashara ni ngumu ila inawezakana usiige maisha ya wengine.
Take this advice and thank me later
Habari wana JF,
Naomba kuuliza kwa wale wazoefu, naomba ushauri ni biashara gani nzuri ambayo naweza kuifanya nikiwa chuoni. Ushauri wenu ni muhimu sana, pia nitashukuru na kuyafanyia kazi.
Asanteni.
Kama upo TIA karibu mbagala hapa tupeane mawazo, tatizo la biashara nyingi wanazofanyaa wanachuo huko chuoni hazina future unakuta boom likikata nayo imekata akienda likizo imekufa alimaliza chuo ndio zinakufa kabisa inakuwa Kazi bule...nashauri fanya biaashara yenye ofisi mfano uwakala hapo naeneo yanje ya chuo unaweka kibanda nk ukicheza kamari vizuri utakuta unamaliza una vibanda vitatu.Habari wana JF,
Naomba kuuliza kwa wale wazoefu, naomba ushauri ni biashara gani nzuri ambayo naweza kuifanya nikiwa chuoni. Ushauri wenu ni muhimu sana, pia nitashukuru na kuyafanyia kazi.
Asanteni.