Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!

Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi kupangisha fremu na kununua bidhaa. Kuna biashara nyingi unazoweza kuanza bila kupangisha fremu. Hapa kuna biashara 👇 ambazo unaweza kuanza kwa mtaji mdogo bila fremu, pamoja na jinsi ya kuzianzisha:

1. Biashara ya Nguo za Mitumba na spesho

Jinsi ya Kuanzisha:

Nunua nguo au Beli la Mtumba au Nguo za Spesho kwa bei ya jumla kutoka Kariakoo, ilala-boma, Soko la Karume, Manzese, Tandale, Mwanza Mnadani, au masoko mengine ya jumla ikitegemea uko wapi? Anza kwa kuuza kwa ndugu, marafiki, wafanyakazi wa ofisi au mtaani kwa kubeba mzigo.
Tangaza bidhaa zako kwa kutumia WhatsApp, Facebook, Instagram na TikTok.

FB_IMG_17399519815745160.jpg

Kama unaweza kununua mzigo mzima, unaweza kuchukua kwa bei ya jumla kwa wauzaji wa jumla na kuuza kwa faida kidogo.
Faida: Unaweza kupata faida ya mara mbili kwa kila nguo ukinunua kwa bei nzuri.

2. Biashara ya Chakula cha Haraka (Fast Food)

Jinsi ya Kuanzisha:

Anza na vyakula vidogo kama chapati, maandazi, sambusa, vitumbua, mihogo ya kukaanga au mayai ya kuchemsha.
Tumia sufuria au jiko dogo la gesi na upike nyumbani kisha uuze mtaani au kwenye vituo vya mabasi, shuleni au maeneo yenye watu wengi.
Tengeneza menu za ofisini kwa kupeleka vyakula vya asubuhi kwa wafanyakazi na wanafunzi.
Unaweza pia kufanya biashara ya catering kwa shughuli ndogondogo.
Faida: Unaweza kuanza kwa mtaji wa chini ya Tsh 50,000 na kupata faida ya Tsh 5,000 - 20,000 kwa siku.

3. Biashara ya Juice na Matunda
Jinsi ya Kuanzisha:

FB_IMG_17399343039986905.jpg

Nunua blender na chupa za plastiki kwa bei ya jumla.
Nunua matunda kwa wingi kama maembe, nanasi, tikiti maji, machungwa au parachichi.
Tayarisha juisi nyumbani na uuze kwenye ofisi, vituo vya magari, shule au mitaani kwa kutumia barafu.
Unaweza pia kuunganisha na kuuza matunda yaliyokatwa vizuri kwenye vikombe.
Faida: Ukiuza vikombe 50 kwa siku kwa faida ya Tsh 500 kwa kila kimoja, unapata Tsh 25,000 kwa siku (hata ukipata faida elfu kumi ni sawa).

4. Biashara ya Bidhaa za Nyumbani (Sabuni, Mafuta, Vitu vya Usafi)

Jinsi ya Kuanzisha:

Nunua bidhaa kama sabuni za unga, sabuni za maji, mafuta ya kupaka, miswaki, dawa za meno, mafuta ya kupikia, n.k.

Tafuta watu wa kuuza kwao kama wafanyakazi wa ofisini, majirani au wanafunzi wa vyuoni.
Unaweza kutumia WhatsApp na Instagram kuweka bidhaa zako ili watu waagize.
Nunua kwa jumla kutoka kwa maduka ya jumla au wasambazaji kisha uuze kwa faida.
✅ Faida: Ukiuza bidhaa 10-20 kwa siku kwa faida ya Tsh 1,000 kwa kila moja, unaweza kutengeneza Tsh 10,000 - 20,000 kwa siku.

5. Biashara ya Vijora/madera

Jinsi ya kuanzisha:

Nenda kariakoo au soko la jumla la nguo katika mkoa wako, nunua vijora kwa bei ya jumla au nunua vitambaa ushone mwenyewe mafundi wapo ukiuliza, au nunua vile vilivyo mwagwa chini for sell vinauzwa bei mteremko(cha muhimu kagua vizuri)
Ukinunua anza kuuza kwa watu unaowafahamu, kopesha pia kwa wachache waaminifu, pia peleka minadani, mwaga kwenye makutano ya watu wengi.
NB: ukiwa na mtaji wa kuanzia tsh laki 5 mpaka laki 3 unaanza biashara hii vizuri tu.
Faida ipo ila angalizo biashara ya vijora usikae na mzigo muda mrefu kwa maana kila leo maua mapya yanaingia na wateja wanataka vitu pambe vipya.

👉Nawewe Tupe wazo lako la Biashara isiyohitaji Frame hapa chini tujifunze.....
 
Naongezea kuuza maua, unaweza weka pembeni mwa barabara, baada ya watembea kwa miguu. Matunda ya aina mbalimbali. Unatengeneza cha kuyapanga vizuri na usafi, pembeni sehwmu watu wanapita na wenye magari kuweza kupark.
 
Biashara ambazo unaweza kuanzisha bila FREMU na jinsi ya kuzianzisha!

Maisha ni magumu, na najua kuna wakati unatamani kufanya biashara, lakini ukijiangalia, mtaji ulionao ni mdogo, hivyo huwezi kupangisha fremu na kununua bidhaa. Kuna biashara nyingi unazoweza kuanza bila kupangisha fremu. Hapa kuna biashara 👇 ambazo unaweza kuanza kwa mtaji mdogo bila fremu, pamoja na jinsi ya kuzianzisha:

1. Biashara ya Nguo za Mitumba na spesho

Jinsi ya Kuanzisha:

Nunua nguo au Beli la Mtumba au Nguo za Spesho kwa bei ya jumla kutoka Kariakoo, ilala-boma, Soko la Karume, Manzese, Tandale, Mwanza Mnadani, au masoko mengine ya jumla ikitegemea uko wapi? Anza kwa kuuza kwa ndugu, marafiki, wafanyakazi wa ofisi au mtaani kwa kubeba mzigo.
Tangaza bidhaa zako kwa kutumia WhatsApp, Facebook, Instagram na TikTok.

View attachment 3241675
Kama unaweza kununua mzigo mzima, unaweza kuchukua kwa bei ya jumla kwa wauzaji wa jumla na kuuza kwa faida kidogo.
Faida: Unaweza kupata faida ya mara mbili kwa kila nguo ukinunua kwa bei nzuri.

2. Biashara ya Chakula cha Haraka (Fast Food)

Jinsi ya Kuanzisha:

Anza na vyakula vidogo kama chapati, maandazi, sambusa, vitumbua, mihogo ya kukaanga au mayai ya kuchemsha.
Tumia sufuria au jiko dogo la gesi na upike nyumbani kisha uuze mtaani au kwenye vituo vya mabasi, shuleni au maeneo yenye watu wengi.
Tengeneza menu za ofisini kwa kupeleka vyakula vya asubuhi kwa wafanyakazi na wanafunzi.
Unaweza pia kufanya biashara ya catering kwa shughuli ndogondogo.
Faida: Unaweza kuanza kwa mtaji wa chini ya Tsh 50,000 na kupata faida ya Tsh 5,000 - 20,000 kwa siku.

3. Biashara ya Juice na Matunda
Jinsi ya Kuanzisha:

View attachment 3241677
Nunua blender na chupa za plastiki kwa bei ya jumla.
Nunua matunda kwa wingi kama maembe, nanasi, tikiti maji, machungwa au parachichi.
Tayarisha juisi nyumbani na uuze kwenye ofisi, vituo vya magari, shule au mitaani kwa kutumia barafu.
Unaweza pia kuunganisha na kuuza matunda yaliyokatwa vizuri kwenye vikombe.
Faida: Ukiuza vikombe 50 kwa siku kwa faida ya Tsh 500 kwa kila kimoja, unapata Tsh 25,000 kwa siku (hata ukipata faida elfu kumi ni sawa).

4. Biashara ya Bidhaa za Nyumbani (Sabuni, Mafuta, Vitu vya Usafi)

Jinsi ya Kuanzisha:

Nunua bidhaa kama sabuni za unga, sabuni za maji, mafuta ya kupaka, miswaki, dawa za meno, mafuta ya kupikia, n.k.

Tafuta watu wa kuuza kwao kama wafanyakazi wa ofisini, majirani au wanafunzi wa vyuoni.
Unaweza kutumia WhatsApp na Instagram kuweka bidhaa zako ili watu waagize.
Nunua kwa jumla kutoka kwa maduka ya jumla au wasambazaji kisha uuze kwa faida.
✅ Faida: Ukiuza bidhaa 10-20 kwa siku kwa faida ya Tsh 1,000 kwa kila moja, unaweza kutengeneza Tsh 10,000 - 20,000 kwa siku.

5. Biashara ya Vijora/madera

Jinsi ya kuanzisha:

Nenda kariakoo au soko la jumla la nguo katika mkoa wako, nunua vijora kwa bei ya jumla au nunua vitambaa ushone mwenyewe mafundi wapo ukiuliza, au nunua vile vilivyo mwagwa chini for sell vinauzwa bei mteremko(cha muhimu kagua vizuri)
Ukinunua anza kuuza kwa watu unaowafahamu, kopesha pia kwa wachache waaminifu, pia peleka minadani, mwaga kwenye makutano ya watu wengi.
NB: ukiwa na mtaji wa kuanzia tsh laki 5 mpaka laki 3 unaanza biashara hii vizuri tu.
Faida ipo ila angalizo biashara ya vijora usikae na mzigo muda mrefu kwa maana kila leo maua mapya yanaingia na wateja wanataka vitu pambe vipya.

👉Nawewe Tupe wazo lako la Biashara isiyohitaji Frame hapa chini tujifunze.....
Nice
 
uzi umenyooka sana mkuu
 
N

Nimeielewa io ya juisi sas hpo kweny barafu si juisi itakuwa maji tupu😥
 
Back
Top Bottom