Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Nilikuwa na mawazo ya kuanzisha biashara yangu niache mambo ya kutegemea mishahara manyanyaso....nimewaza mambo manne
1. Kufungua frame ya kuuza vinywaji vya jumla- mwenye uzoefu na hili naomba anipe mchanganuo wa millioni 5
2. Saloon ya kiume ila hii mrejesho wake naona ni wa muda mrefu.
3. Kufungua car wash na service center ya kisasa - ushauri naomba hapa sio lazima nianze full maana mtaji mdogo 5M
4. Biashara ya nguo kutoa nje na kuleta hapa na kuuza maofisini
5. Biashara ya sabuni za magadi- wenye ujuzi waniambie kama masoko yanapatikana kwa dar es salaam
Nakaribisha mawazo yenu wakUu....