BIASHARA BOmBA kwa millioni 5

BIASHARA BOmBA kwa millioni 5

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
6,682
Reaction score
11,461
Nilikuwa na mawazo ya kuanzisha biashara yangu niache mambo ya kutegemea mishahara manyanyaso....nimewaza mambo manne

1. Kufungua frame ya kuuza vinywaji vya jumla- mwenye uzoefu na hili naomba anipe mchanganuo wa millioni 5

2. Saloon ya kiume ila hii mrejesho wake naona ni wa muda mrefu.

3. Kufungua car wash na service center ya kisasa - ushauri naomba hapa sio lazima nianze full maana mtaji mdogo 5M

4. Biashara ya nguo kutoa nje na kuleta hapa na kuuza maofisini

5. Biashara ya sabuni za magadi- wenye ujuzi waniambie kama masoko yanapatikana kwa dar es salaam

Nakaribisha mawazo yenu wakUu....
 
hyo ya vinywaj vya jumla namimi naiwazia sana nafkri ukpata centre poa yenye population ya kutosha ndo inalipa zaidi
 
Nilikuwa na mawazo ya kuanzisha biashara yangu niache mambo ya kutegemea mishahara manyanyaso....nimewaza mambo manne

1. Kufungua frame ya kuuza vinywaji vya jumla- mwenye uzoefu na hili naomba anipe mchanganuo wa millioni 5

2. Saloon ya kiume ila hii mrejesho wake naona ni wa muda mrefu.

3. Kufungua car wash na service center ya kisasa - ushauri naomba hapa sio lazima nianze full maana mtaji mdogo 5M

4. Biashara ya nguo kutoa nje na kuleta hapa na kuuza maofisini

5. Biashara ya sabuni za magadi- wenye ujuzi waniambie kama masoko yanapatikana kwa dar es salaam

Nakaribisha mawazo yenu wakUu....
Check aina ya biashara unazoweza kufanya Afrika kuanzia $100-$100,000;Africa Do Business, Start a Business in Africa, Best places to invest in Africa
 
Yaani, pasua kichwa tupu maisha ya sasa. Inabidi uwe smart kweli, daring, risk taker, thinker kikweli kweli, everything starts with you...personal initiative inahitajika sana...get an idea from yourself first and use it as a skeleton, ushauri wa wengine uwe kama ndio nyama za kujazia ideas zako.
 
Back
Top Bottom