Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Check aina ya biashara unazoweza kufanya Afrika kuanzia $100-$100,000;Africa Do Business, Start a Business in Africa, Best places to invest in AfricaNilikuwa na mawazo ya kuanzisha biashara yangu niache mambo ya kutegemea mishahara manyanyaso....nimewaza mambo manne
1. Kufungua frame ya kuuza vinywaji vya jumla- mwenye uzoefu na hili naomba anipe mchanganuo wa millioni 5
2. Saloon ya kiume ila hii mrejesho wake naona ni wa muda mrefu.
3. Kufungua car wash na service center ya kisasa - ushauri naomba hapa sio lazima nianze full maana mtaji mdogo 5M
4. Biashara ya nguo kutoa nje na kuleta hapa na kuuza maofisini
5. Biashara ya sabuni za magadi- wenye ujuzi waniambie kama masoko yanapatikana kwa dar es salaam
Nakaribisha mawazo yenu wakUu....