Biashara Burundi

Biashara Burundi

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
12,958
Reaction score
9,516
Wandugu Heri ya mwaka mpya, naamini Mungu ametuvusha salama.

Somo liko juu hapo Mwaka huu natamani kuanzisha biashara ya Nguo, Simple shoes na Mikoba ya akina dada. Nataka kupeleka kwenye hiyo nchi so nimekuja kwenu kupata uzoefu wa huko nikiamini humu tuko watu tofauti tofauti ambao wengi wenu aidha mmewahi kufanya hiyo biashara au mmewahi kufika huko kwa biashara nyingine.

Changamoto zake ni zipi, jamaa wa huko ni vipi kuhusu uaminifu na mwisho usafiri wa kufika huko ni upi?

Natanguliza shukrani wakuu. Karibuni kwa mawazo.
 
Unataka kupeleka bila kujua kule wanananua kwa pesa ngapi? Na bila kujua Kama wanavihitaji? Na bila kujua Kama kuna ushuru na bila kujua utaviuza wap?

Ulitakiwa kusema nafikiria Lakin si kupeleka ata ukifikiria tu lazima ujue demand na price
 
Hivi unataka kupeleka nguo gani? madosho haya wanayovaa mikoani au ipi maana lwa experience ya mkoa wa jirani kigoma specifically kasulu na kibondo wanavaa sana madosho na huko burundi wanavaa zinazoeleweka kidogo ila kwa kifupi burundi zipo nguo za kutosha na nzuri hata mpakani ukifika utajionea mkuu
 
Unataka kupeleka bila kujua kule wanananua kwa pesa ngapi? Na bila kujua Kama wanavihitaji? Na bila kujua Kama kuna ushuru na bila kujua utaviuza wap?

Ulitakiwa kusema nafikiria Lakin si kupeleka ata ukifikiria tu lazima ujue demand na price

Nahisi (sina hakika) jamaa alisikia huko Burundi kuna neema kwa biashara ya dizain hiyo, so hapa amekuja kama kupata habari kamili kwa mwenye taharifa. Kama unaelewa chochote mfanyie uungwana wa kumsaidia.
 
dolevaby umeshajaribu hapa hapa bongo hii biashara? nakushauri kwa biashara ya nguo jaribu hapa kariakoo kama ukitaka connection ntakusaisia upate walau kijieneo then utaleta majibu baada ya mwezi umu. Soko bongo lipo uchakarikaji wako tu.
 
Last edited by a moderator:
asante mkuu kwa ushauri kwa hapa bongo bado cjajaribu nitashukuru ukinipa maujanja manake maisha kuasidiana kaka
Natanguliza shukrani karibu sana
 
burundi wapelekee magodoro na masofa ya kubumba , wanachanganyikiwa, kuna jamaa yangu katoka kwa biashara hizo
 
asante kaka kwa wazo lako unaweza kunipa maujanja zaidi? kama utakuwa na taarifa za kutosha khs hiyo biashara na changamoto zake karibu ndg yangu
 
Back
Top Bottom