Biashara Burundi

Biashara Burundi

asante kwa kunisahihisha ndg ndio maana tuko humu karibu sana kwa yale unayoyajua kiongozi
 
asante ndg huyo mwanadamu alie nipa hizo habari anasema sanasana ni nguo za wamama km hz za kariakoo pamoja na BAG
alinitumia hadi sample anasema km mtu unakuwa na mzigo mkubwa unapewa pesa nusu baada ya muda mtakaokubaliana wanakumalizia sasa ndio maana nimekuja humu nikiamini kuna watu wanajua wengi ili nijue ukweli wa mambo ukichukulia mtu alienambia hiyo biashara tumekutana kwenye mitandao so nataka kupata uelewa zaidi karibu sana ndg kwa mchango wako wa mawazo
 
Wakuu bado nausubiri michango yenu ya mawazo karibuni sana
 
Burundi pesa yao ipo chini sana tsh10000-12500franc so itakugharimu sana sasa ukichukua Mzigo kwa tshiling mfano umenunua kwa 5000 ykija huku itabidi uyze 12500 ili we upate faida utakpoenda kubadili pesa utapewa tsh10000 so kazi ni kwako for MRE details call 0764616353 kwa sasa npo hapa kwa magufuli ntakupa ABC za Kule nyumbani
 
Back
Top Bottom