asante ndg huyo mwanadamu alie nipa hizo habari anasema sanasana ni nguo za wamama km hz za kariakoo pamoja na BAG
alinitumia hadi sample anasema km mtu unakuwa na mzigo mkubwa unapewa pesa nusu baada ya muda mtakaokubaliana wanakumalizia sasa ndio maana nimekuja humu nikiamini kuna watu wanajua wengi ili nijue ukweli wa mambo ukichukulia mtu alienambia hiyo biashara tumekutana kwenye mitandao so nataka kupata uelewa zaidi karibu sana ndg kwa mchango wako wa mawazo
Burundi pesa yao ipo chini sana tsh10000-12500franc so itakugharimu sana sasa ukichukua Mzigo kwa tshiling mfano umenunua kwa 5000 ykija huku itabidi uyze 12500 ili we upate faida utakpoenda kubadili pesa utapewa tsh10000 so kazi ni kwako for MRE details call 0764616353 kwa sasa npo hapa kwa magufuli ntakupa ABC za Kule nyumbani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.