Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

KALINZI NYUMBANI

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2015
Posts
1,797
Reaction score
1,594
Wakuu mimi ni mjasilimali mdogo tu ambae kwa siku naweza tengeneza faida ya kuanzia elfu 30 or elfu 40. Sasa kwa sasa natafuta biashara ambayo inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa siku.Na vimiradi viwili ambavyo vinaniingizia hiyo pesa.

Mtaji uliopo ni kati ya (9/12 Million).Hii biashara nahitaji niisimamie mie mwenyewe.

Nimejitahidi kusoma forex, BTC lakini naona kichwa changu ni kigumu kuelewa .

Napokea ushauri wowote ila isipokuwa wa kuwekeza kwenye kilimo. Na pia wa kufanya biashara ya kushirikiana na mtu(kugawana share).

Karibuni kwa mawazo.
 
Wekeza katika bidhaa za afya...
Kwa sasa sio Tanzania tu ila ulimwengu umekuwa na fancy goods hususani vinywaji vyenye kemikali, fast food na kadhalika vitu ambavyo vimepelekea kila familia kuwa na wagonjwa wa kisukari, mara presha, nguvu za kiume, Vidonda vya tumbo yaani kila familia kuna mgonjwa wa aina yake hivyo kuwekeza katika kuondoa kero hizi kwa kuwekeza katika tiba asilia ni jambo jema na hakika soko haliwezi kukosa cha msingi uwe na uhakika na details zinazoeleweka...
Nafikiri ni vyema zaidi unitafute WhatsApp 0769321005 tupeane ideas tofauti
Merry X-Mas
 
Hata mm na uzoefu huo ila kwa kiasi hicho bado hajanunua mzani, jiko la kuyeyushia, leseni, akarabati nyumba ya kununulia nk aajiri vijana
Umeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.

Tufanye ana 5m.

1g of gold=65,000Tsh
5m/65,000=76.92g
Ubora/purity=86%
Bei=86,000Tsh kwa wenye leseni
Mauzo=76.92g*86%*86,000=5,689,230,

Hata ukipandilia bei akanunua kwa 70 au 72 bado anapata hiyo faida
 
Usipotoshe watu huo mtaji unatosha kabisa kwa biashara ya madini inategemea tu atataka kufata strategy gani..... Ila kwa ushauri awe makini sana hiyo biashara inautapeli mwingi.
Biashara ya madini huwezi kuifanya kwa pesa ndogo kiasi hicho hata watanzania wanategemea mitaji kutoka kwa wahindi ndo maana wakigoma tu mtaji hakuna na dhahabu inakuwa hainunuliwi kuwa makini kama kuna mtu anakudanganya jichanganye uone utakavyosulubiwa kwanza kuna kodi 6% royalty, 1% clearance fee, 5% with holding tax na zote unakata kutoka kwenye gross
 
Wakuu mimi nimjasilimali mdogo tu,ambae kwa siku naweza tengeneza faida yakuanzia elfu 30 or elfu 40.Sasa kwa sasa natafuta biashara ambayo inaweza tengeneza faida yakuanzia laki tatu kwa siku.Navimiradi viwili ambavyo vinaniingizia hiyo pesa.

Mtaji uliopo ni kati ya (9/12 Million).Hii biashara nahitaji niisimamie mie mwenyewe.

Nimejitahidi kusoma forex,BTC lakini naona kichwa changu nikigumu kuelewa .

Napokea ushauri wowote ila isipokuwa wakuwekeza kwenye kilimo.Napia wakufanya biashara yakushirikiana na mtu(kugawana share).

Karibuni kwa mawazo.
Hio hio uifanyayo ikuze kwa kufungua zaidi ikuze,
 
Umeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.

Tufanye ana 5m.

1g of gold=65,000Tsh
5m/65,000=76.92g
Ubora/purity=86%
Bei=86,000Tsh kwa wenye leseni
Mauzo=76.92g*86%*86,000=5,689,230,

Hata ukipandilia bei akanunua kwa 70 au 72 bado anapata hiyo faida
VIP kuhusu kupigwa dhahabu feki
 
VIP kuhusu kupigwa dhahabu feki
Kweli kila mtu na uzoefu wake. Kwa uzoefu wangu huwezi kupigwa dhahabu feki, maana wewe unanunua dhahabu mbichi sio iliyoyeyushwa. Dhahabu mbichi ni vigumu kuuziwa feki, sema ubora ndio unatakiwa uujue, na ni rahisi kujua, hii ni bora zaidi kuliko nyingine. Ndani ya dakika unakuwa umeelwa tofauti na dhahabu iliyoyeyushwa
 
OK unainulilia wapi hapa dar au mkoani
 
Biashara ya madini huwezi kuifanya kwa pesa ndogo kiasi hicho hata watanzania wanategemea mitaji kutoka kwa wahindi ndo maana wakigoma tu mtaji hakuna na dhahabu inakuwa hainunuliwi kuwa makini kama kuna mtu anakudanganya jichanganye uone utakavyosulubiwa kwanza kuna kodi 6% royalty, 1% clearance fee, 5% with holding tax na zote unakata kutoka kwenye gross
Wewe hujui hii biashara, sijui nikueleweshe vipi. Mhindi ni sonara, kwani wewe unayenunua huko kwa wachimbaji ni sonara.
 
Back
Top Bottom