KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,797
- 1,594
Huo mtaji mdogo sana kwenye dhahabudhahabu, njoo tupige kazi, 0716411720
Mkuu mimi sitaki kubishana hapa, nimemjibu kutokana na uzoefu wangu. Siku njemaHuo mtaji mdogo sana kwenye dhahabu
Hata mm na uzoefu huo ila kwa kiasi hicho bado hajanunua mzani, jiko la kuyeyushia, leseni, akarabati nyumba ya kununulia nk aajiri vijanaMkuu mimi sitaki kubishana hapa, nimemjibu kutokana na uzoefu wangu. Siku njema
Unataka kumtapeli mwenzio, Watanzania mnajua kuchangamkia fursa.dhahabu, njoo tupige kazi, 0716411720
Umeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.Hata mm na uzoefu huo ila kwa kiasi hicho bado hajanunua mzani, jiko la kuyeyushia, leseni, akarabati nyumba ya kununulia nk aajiri vijana
Mimi hapa jf najulikana, na mara nyingi nakuwa wazi na vitu vyangu, nimtapeli kwa lipi, sina njaa hizo unazosema, usione hapa nauza kiwanja, na nahitaji mpangaji wa nyumba yangu ukaona naweza kula cha mtu. NEVER EVERUnataka kumtapeli mwenzio, Watanzania mnajua kuchangamkia fursa.
Usipotoshe watu huo mtaji unatosha kabisa kwa biashara ya madini inategemea tu atataka kufata strategy gani..... Ila kwa ushauri awe makini sana hiyo biashara inautapeli mwingi.Huo mtaji mdogo sana kwenye dhahabu
Biashara ya madini huwezi kuifanya kwa pesa ndogo kiasi hicho hata watanzania wanategemea mitaji kutoka kwa wahindi ndo maana wakigoma tu mtaji hakuna na dhahabu inakuwa hainunuliwi kuwa makini kama kuna mtu anakudanganya jichanganye uone utakavyosulubiwa kwanza kuna kodi 6% royalty, 1% clearance fee, 5% with holding tax na zote unakata kutoka kwenye grossUsipotoshe watu huo mtaji unatosha kabisa kwa biashara ya madini inategemea tu atataka kufata strategy gani..... Ila kwa ushauri awe makini sana hiyo biashara inautapeli mwingi.
Hio hio uifanyayo ikuze kwa kufungua zaidi ikuze,Wakuu mimi nimjasilimali mdogo tu,ambae kwa siku naweza tengeneza faida yakuanzia elfu 30 or elfu 40.Sasa kwa sasa natafuta biashara ambayo inaweza tengeneza faida yakuanzia laki tatu kwa siku.Navimiradi viwili ambavyo vinaniingizia hiyo pesa.
Mtaji uliopo ni kati ya (9/12 Million).Hii biashara nahitaji niisimamie mie mwenyewe.
Nimejitahidi kusoma forex,BTC lakini naona kichwa changu nikigumu kuelewa .
Napokea ushauri wowote ila isipokuwa wakuwekeza kwenye kilimo.Napia wakufanya biashara yakushirikiana na mtu(kugawana share).
Karibuni kwa mawazo.
VIP kuhusu kupigwa dhahabu fekiUmeenda mbali sana, ukiwa mnunuzi wa dhahabu mbichi unahitaji mzani tu, labda laki mbili. Dah sijue nifafanue vp.
Tufanye ana 5m.
1g of gold=65,000Tsh
5m/65,000=76.92g
Ubora/purity=86%
Bei=86,000Tsh kwa wenye leseni
Mauzo=76.92g*86%*86,000=5,689,230,
Hata ukipandilia bei akanunua kwa 70 au 72 bado anapata hiyo faida
Kweli kila mtu na uzoefu wake. Kwa uzoefu wangu huwezi kupigwa dhahabu feki, maana wewe unanunua dhahabu mbichi sio iliyoyeyushwa. Dhahabu mbichi ni vigumu kuuziwa feki, sema ubora ndio unatakiwa uujue, na ni rahisi kujua, hii ni bora zaidi kuliko nyingine. Ndani ya dakika unakuwa umeelwa tofauti na dhahabu iliyoyeyushwaVIP kuhusu kupigwa dhahabu feki
OK unainulilia wapi hapa dar au mkoaniKweli kila mtu na uzoefu wake. Kwa uzoefu wangu huwezi kupigwa dhahabu feki, maana wewe unanunua dhahabu mbichi sio iliyoyeyushwa. Dhahabu mbichi ni vigumu kuuziwa feki, sema ubora ndio unatakiwa uujue, na ni rahisi kujua, hii ni bora zaidi kuliko nyingine. Ndani ya dakika unakuwa umeelwa tofauti na dhahabu iliyoyeyushwa
Wewe hujui hii biashara, sijui nikueleweshe vipi. Mhindi ni sonara, kwani wewe unayenunua huko kwa wachimbaji ni sonara.Biashara ya madini huwezi kuifanya kwa pesa ndogo kiasi hicho hata watanzania wanategemea mitaji kutoka kwa wahindi ndo maana wakigoma tu mtaji hakuna na dhahabu inakuwa hainunuliwi kuwa makini kama kuna mtu anakudanganya jichanganye uone utakavyosulubiwa kwanza kuna kodi 6% royalty, 1% clearance fee, 5% with holding tax na zote unakata kutoka kwenye gross