golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Ok, ila ufahamu hii biashara naijua, na siwezi kumpeleka mtu kwenye majanga, najua uchungu wa kutafuta. Mimi ni Engineer, nafanya kitu ambacho nakijua. Siku njemaStak kukwambia kwasabab utanifaham,ila nkupe hint,nmesoma,CoNas,udsm,.Bsc in geology.
Mimi mbona hadi namba zangu na watu wengi humu nimefanya nao kazi, au wenzangu mnaitumia jf kwa mambo mabayaKama,ulisoma udsm nkikupa details utanifaham,na mi stak unifaham,maana hapa ni ID fake kwa kwenda mbele
Bas sawaOk, ila ufahamu hii biashara naijua, na siwezi kumpeleka mtu kwenye majanga, najua uchungu wa kutafuta. Mimi ni Engineer, nafanya kitu ambacho nakijua. Siku njema
[emoji121]Mimi mbona hadi namba zangu na watu wengi humu nimefanya nao kazi, au wenzangu mnaitumia jf kwa mambo mabaya
Poa njoo nikuuzie kiwanja changu, tangazo lipo humuBas sawa
dhahabu, njoo tupige kazi, 0716411720
Hapana, nina uzoefu na dhahabu na gypsum tu. Zaidi ya hapo nitakuongopea[emoji121]
N'TAKUTAFUTA INJINIA MWENZANGU TUNUNUE MADINI AINA ZOTE.
[emoji121]
N'TAKUTAFUTA INJINIA MWENZANGU TUNUNUE MADINI AINA ZOTE.
Ahhj hapana,ujue kuna muda tunatokaga kwenye site tumechoka so hua tunaongea upuuz sana hum,mtu anaeza dhani si watu wa maana,ila,ni watu wenye status zetu za maana sana,so nkiweka details hapa,itakua shida,af mi pale udsm nilikua maaruf sana,watu wakijua ndo mim,itakua noma,..this site is for havin fun,to me lakin,Mimi mbona hadi namba zangu na watu wengi humu nimefanya nao kazi, au wenzangu mnaitumia jf kwa mambo mabaya
Acha kumtisha mwenzio, sio kila mtu humu ni tapeli. Dah sijui jf imekuwaje.Mtu kama huyu muogope mje mfanye kazi kwani tumbo lake ni mgodi wa dhahabu.Muogope endelea kutafuata
Poa, jumapili njemaAhhj hapana,ujue kuna muda tunatokaga kwenye site tumechoka so hua tunaongea upuuz sana hum,mtu anaeza dhani si watu wa maana,ila,ni watu wenye status zetu za maana sana,so nkiweka details hapa,itakua shida,af mi pale udsm nilikua maaruf sana,watu wakijua ndo mim,itakua noma,..this site is for havin fun,to me lakin,
Ahh kwasasa hapana mkuu.Poa njoo nikuuzie kiwanja changu, tangazo lipo humu
Ujue kubishana kusiko na tija ni kumaliza calories, naongelea experience hapa sio theories sasa sijui unachobisha ni nini.
kwahi wale wachimbaji wanao anza na mtaji wa bereshi na sululu vipi? wale pata potea wale...? ebu hacheni mabishano ongeeni mambo ya kueleweka... field field una tutisha na field? hacha mambo yako mkuu...Usimdanganye mwenzio wew,...akapoteza hela yake,we unaonekana biashara ya madin huijui na unaiskia tuu kwa stor za watu...mi nmefanya hii baishara kwa mda mref,kama mtu ni mpya kabsa kwenye biashara hii,had uje ukae sawa huo mtaj wa mil5-10 ushapotea,hii biashara inahtaj experienc ya hal ya juu,ni wazoef tuu ndio wanatoboa hii kitu,sasa mwenzio hajui chochote kuhusu hii kitu af aweke pesa hapo,mshaur kitu kingne ila sio madin,had apate experience ndo afanye
hawa wasomi wetu wa EXPANSION JOINT mitaji hawana wanataka kukutapeli waogope! endelea na biashara yako mkuu ya zamaniOk, ila ufahamu hii biashara naijua, na siwezi kumpeleka mtu kwenye majanga, najua uchungu wa kutafuta. Mimi ni Engineer, nafanya kitu ambacho nakijua. Siku njema
kusoma CONAS sio tatizo mimi mwenyewe my bro kapita hapo na namtumia kupata kuyafahamu madini na ananipa elimu yake juu ya hii biashara na ndio aliye sababisha nimezunguka na kufahamu hasa hii biashara na faida zake... na ananiambia ukimiliki mgodi ukawa una chimba mwenyewe ni rahisi kupata hizo Mil 500... na kuendelea kwa kuwa product ipo na nijuudi zako za kufanyakaziStak kukwambia kwasabab utanifaham,ila nkupe hint,nmesoma,CoNas,udsm,.Bsc in geology.
Nije tufanye hiyo kaz sawakama una experience mbona sasa bado hujatoka.usimdanganye mwenzako,sisi tupo machimboni huku tunaijua vizuri hii biashara
Ehh ni bora akaanza na hayo mabereshi ila sio atumbukize mil15,...mi naongea kwa experienc mkuu,sabab nmefanya hii kitu na nnaijua nje ndani,mikoa yoote nmekaa kwa sabab ya hii ishu na nje ya nchi nmefika kwasabab ya hii ishu,.mtu asie na knowledge kabsa ya madin simshaur afanye hii kitu,kama ni kufanya bas aanze na mtaj wa lak5 tu,aende huko site akaaeee ajue michezo yoote halaf ndo badae aweke pesa,...kwahi wale wachimbaji wanao anza na mtaji wa bereshi na sululu vipi? wale pata potea wale...? ebu hacheni mabishano ongeeni mambo ya kueleweka... field field una tutisha na field? hacha mambo yako mkuu...
pesa katika madini zipo tena nyingi sana... afatilie na ausome mchezo kwa makini kabla ya kuingiza pesa zake, wapo wanao fanikiwa kwa kuthubutu... wakina masanja wanaendelea na biashara na wanalima nk... wamethubutu na wanaingiza pesa za kutosha
migodi ipo mingi tu yenye madini... ukitaka ulanga kma una mteja, dhahabu, copper... machimbo yapo... andaa strategies za kupata hayo madini na soko lako kwa madini utakayo yachagua...