Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

safi kabisa haya ndio mawazo chanya
 
mkuu mnunuaji mdogo wa dhahabu hangojei dhahabu mjini,
anakwenda machimboni,huko ndo ataipata dhahabu maana inachimbwa,kuibuliwa na kusafishwa akiwa ama anashuhudia ama yuko arround,
machimboni ukiuza dhahabu fake watakuua tu,
watu wanaishi kwenye vijumba vya mifuko ya sulphate,
huku hadi kuna gest za magunia,chezea ,
mvua inanyesha utadhani watu watatoka,lakini ndo wamekomaa tu,
mimi sio mfanyabiashara wa madini lakini kuna watu ,majirani wanafanya biashara hiyo,
juzi kuna dada poa mmoja alikuwa anaenda kuiuza naniliu huko,sasa ame upgrade kumuuliza anadai sasa ananunua dhahabu na kuuza,
ujue matajiri wakubwa ndo wananunua kwa hawa chinga wa dhahabu,hawa chinga wananunua direct toka kwa mchimbaji
 
Nitakutafuta
 
Geo una mikwara Sana aisee..!eka facts hapa watu wajue kipi Cha kuchukua, sio mboyoyo nyingi vitisho kibao, oh oh experience xpirience we ulizaliwa nayo!??! mboyoyo nyingi Kama wana wa Bsc with Geology aisee
Hahahsh,ndomana nkasema stak kujitambulisha hapa maana wana wa geology watanifaham hahahaha,..kaushaa kama we ni geo,..waache waingie kichwakichwa ile kwao
 
Nikweli,..ndo umwambie huyu jamaa aelewe.dhahab si lelemama,na inapatkana porin,so ajiandae hyo m5 akiipata mwnye uzoef itampa faida,ila akiipata mtu ambae ndo anaanza hana hili wala lile,itakula kwake
 
Mkuu Elungata unaonekana upo kwenye field ya dhahabu ingawa mwishoni unakataa kuwa hufanyi.Naomba uendelee kunipa mwanga niangalie kama naweza ingia au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…