golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
vyemaKwaiyo hii machine inakupa ubora na ujazo sahihi wa gold mkuu?
Huyo jamaa anaota,et mil500,huyu ndo wale wa biashara za matikiti eka 1 faida mil20 huyu,haya na tumwache,nishajua kumbe bado kinda na hajui anaongea nin,madin kwake ni kuskia kwenye vijiwe tuKwaiyo mkuu una miliki mgodi na gharama za kumiliki roughly itakuwa tshs ngapi?
Yan wew unataka biashar yeny kulet faid hyo wakt hujataj biashar unayoifanya? Thnk twiceWakuu mimi nimjasilimali mdogo tu,ambae kwa siku naweza tengeneza faida yakuanzia elfu 30 or elfu 40.Sasa kwa sasa natafuta biashara ambayo inaweza tengeneza faida yakuanzia laki tatu kwa siku.Navimiradi viwili ambavyo vinaniingizia hiyo pesa.
Mtaji uliopo ni kati ya (9/12 Million).Hii biashara nahitaji niisimamie mie mwenyewe.
Nimejitahidi kusoma forex,BTC lakini naona kichwa changu nikigumu kuelewa .
Napokea ushauri wowote ila isipokuwa wakuwekeza kwenye kilimo.Napia wakufanya biashara yakushirikiana na mtu(kugawana share).
Karibuni kwa mawazo.
Sasa mkuu experience itapatkanaje? Km asipofanyaUsimdanganye mwenzio wew,...akapoteza hela yake,we unaonekana biashara ya madin huijui na unaiskia tuu kwa stor za watu...mi nmefanya hii baishara kwa mda mref,kama mtu ni mpya kabsa kwenye biashara hii,had uje ukae sawa huo mtaj wa mil5-10 ushapotea,hii biashara inahtaj experienc ya hal ya juu,ni wazoef tuu ndio wanatoboa hii kitu,sasa mwenzio hajui chochote kuhusu hii kitu af aweke pesa hapo,mshaur kitu kingne ila sio madin,had apate experience ndo afanye
mimi ni nomad,ila napitapita kahama kwasababu kuna jamaa zangu huko,Mkuu Elungata unaonekana upo kwenye field ya dhahabu ingawa mwishoni unakataa kuwa hufanyi.Naomba uendelee kunipa mwanga niangalie kama naweza ingia au la.
ina maana saloon mbili na duka moja vyote kwa pamoja ndio vinakuingizia faida ya elfu 3o-40 kwa siku au kila biashara inakuingizia tofautiNa saluni 2(kuna watu wanasimamia),pia nkiduka cha reja reja kuna mdogo wangu anasimamia lakini sasa natafuta shughuri ntakayoifanya mie.
Unaanza kidogo kidogo labda mtaj wa lak5 hiv,..sasa hawa watu wanamshaur huyu jamaa ana12mil aitumbukize huku,..itakula kwakeSasa mkuu experience itapatkanaje? Km asipofanya
Safi sana kwa kuconfess nimekupenda bure mkuu Kuna msemo "Forex is not for everyone" hii ndiyo maana yake Forex inahitaji brilliant minds Ontario na Creaton na trader mwingine mzuri na wa siri siri the bold ambaye hadi siku hizi haandiki tena makala kwa sababu ya kutrade siyo wachovu kichwaniWakuu mimi nimjasilimali mdogo tu,ambae kwa siku naweza tengeneza faida yakuanzia elfu 30 or elfu 40.Sasa kwa sasa natafuta biashara ambayo inaweza tengeneza faida yakuanzia laki tatu kwa siku.Navimiradi viwili ambavyo vinaniingizia hiyo pesa.
Mtaji uliopo ni kati ya (9/12 Million).Hii biashara nahitaji niisimamie mie mwenyewe.
Nimejitahidi kusoma forex,BTC lakini naona kichwa changu nikigumu kuelewa .
Napokea ushauri wowote ila isipokuwa wakuwekeza kwenye kilimo.Napia wakufanya biashara yakushirikiana na mtu(kugawana share).
Karibuni kwa mawazo.
Kiongozi nimefata pm unisaidie kituWakuu mimi nimjasilimali mdogo tu,ambae kwa siku naweza tengeneza faida yakuanzia elfu 30 or elfu 40.Sasa kwa sasa natafuta biashara ambayo inaweza tengeneza faida yakuanzia laki tatu kwa siku.Navimiradi viwili ambavyo vinaniingizia hiyo pesa.
Mtaji uliopo ni kati ya (9/12 Million).Hii biashara nahitaji niisimamie mie mwenyewe.
Nimejitahidi kusoma forex,BTC lakini naona kichwa changu nikigumu kuelewa .
Napokea ushauri wowote ila isipokuwa wakuwekeza kwenye kilimo.Napia wakufanya biashara yakushirikiana na mtu(kugawana share).
Karibuni kwa mawazo.
Duu hatarii.faida ya laki tatu kwa siku kwa biashara ya halali usikose mtaji wa milioni 60 mpaka 70
Mkuu saluni mbili zote kwa pamoja nachukua laki na 60 kwa wiki.Kiduka ndio kinaniletea hiyo faida 30/40 sema pesa ya saluni huwa siitumii kwa shughuri yeyote hii baada yakuiweka ndio imeleta hio pesa 9/12M.Kiduka nakitumia kuendeshea maisha yangu nandio kinatengeneza hiyo pesa 30/40 per day.ina maana saloon mbili na duka moja vyote kwa pamoja ndio vinakuingizia faida ya elfu 3o-40 kwa siku au kila biashara inakuingizia tofauti
Mkuu kiukweli Forex naipenda namesoma vitabu viwili lakini kwa mazingira niliyonayo naona muda haunitoshi.Na inahitaji muda wakutosha nakusoma vya kutosha,pia lengo langu kubwa nataka nitengeneze mradi/miradi itakayoniingizia angalau laki tatu mpaka tano per week baada ya hapo ndio niingie kwenye forex.Safi sana kwa kuconfess nimekupenda bure mkuu Kuna msemo "Forex is not for everyone" hii ndiyo maana yake Forex inahitaji brilliant minds Ontario na Creaton na trader mwingine mzuri na wa siri siri the bold ambaye hadi siku hizi haandiki tena makala kwa sababu ya kutrade siyo wachovu kichwani
Find another way mkuu Nelson Mandela alisema 'there is no passion to be found in settling for a life that is less than you are capable of living'
Mkuu watanzania wengi wanafeli kwa kuogopa kujaribu. Nimejaribu kufuatilia maelezo yako, inaonyesha kwa dhati ya moyo wako umejitoa kusaidia lakini kwa ugumu wa watu wanaogopa kujaribu ni kama unampigia gitaa mbuzi. Mimi nitakutafuta inbox mkuu ili unielekeze vzr japo sie niliyeomba ushauri, lakini naona ufahamu wako unaweza kusaidia watu humu.Ndio maana nikamwambia aje tufanye kazi, sio kumwambia aende akafanye mwenyewe, uwe unasoma vizuri nilichomwambia
Usijali kaka, watu wa humu nawaelewa vizuri, wanaona kila mtu humu amekuja kuzuga.Mkuu watanzania wengi wanafeli kwa kuogopa kujaribu. Nimejaribu kufuatilia maelezo yako, inaonyesha kwa dhati ya moyo wako umejitoa kusaidia lakini kwa ugumu wa watu wanaogopa kujaribu ni kama unampigia gitaa mbuzi. Mimi nitakutafuta inbox mkuu ili unielekeze vzr japo sie niliyeomba ushauri, lakini naona ufahamu wako unaweza kusaidia watu humu.
ha ha ha,mkuu sio kumiliki mgodi kwa maana halisi ya mgodi,Huyo jamaa anaota,et mil500,huyu ndo wale wa biashara za matikiti eka 1 faida mil20 huyu,haya na tumwache,nishajua kumbe bado kinda na hajui anaongea nin,madin kwake ni kuskia kwenye vijiwe tu
Asante kwa ushauri wako.Uza ngada ila kwa siri faida unapata laki 7 kwa siku... [emoji23] [emoji1]